Sasa ni rasmi Rais wa TFF, Jamal Malinzi amehusika na upangaji matokeo

Kuna clip imeenea nani alie iandaaa kama kweli malinzi ajiuzuru kwakweli
 
Popoma katika ubora wako
 
Hiyo clip mi ninayo na nimeisikiliza zaid ya mara tatu. Tunaweza kusema Malinzi ajiuzuru labda kwa sababu nyingne lakini sio hii clip maana hakuna alipohusika direct yeye kama yeye.

Inawezekana hawa watendaji waliamua kumtaja yeye na katibu mkuu kwa sababu ndio significant figure ili waweze kupata dau kubwa make wasingewataja hao inawezekana timu tajiri isingewapa hizo mil 25
 
wewe GENTAMYCINE na wenzako acheni umbea, mimi nafatilia toka asubuhi hii thread unaahidi clip utaweka huweki, huo ndo tunasema umbea, kama unaclip si uweke, unaogopa nini, niliposti hapa mchana maneno ya MALINZI alisema kama kuna ushahidi nenda mahakamani, sio unatuletea habari zisizo na mashiko.

clip, clip, clip, clip, clip tumechoka na wimbo huu, kama huna clip, MODERATOR toa takataka hii haina mashiko ni ya upashkuna.
 
Nape kasema inaonekana kuna watu wamedhulumiana ndiyo maana kuna hizo clips
 


Nipm no yako nkutumie whatsapp
 
Au ingia www.shaffihdauda.co.tz utaikuta
 
Mkuu GENTAMYCINE , umepiga katikati laxima aanze kutoa POVU lingine. Mkuu vipi na hili sakata la Tra naona limemkalia vibaya...!
 
Gentamycine tunaomba clip nasi tuweze kuusikiliza uozo huo
 
Malinzi Ni tapeli Sana mpigaji yaani Ni mjanja Tu . Anapenda Sana kuonekana innocent while he is not mi jamaa simkubali Na haitokaa itokee nimkubali nyambaaaf.
 
Hivi kumbe mpo washabiki wa mpira vumbi humu??
 
Wagombea wengi sana wanaotumia Mbwembwe kuninadi mimi huwa siwakubali! Ushabiki, Upumbavu na ulimbukeni wa Watanzania ulimuwezesha Jamal kupata Fursa ya kuwa Rais wa TFF. Tulimkataa Athumani Nyamlani kwa kuwa tu anaungwa mkono na Chilla Tenga, Leodger. Shobo zetu kwa wenye pesa zinatugharimu sana. Wafanyabiashara hawafai kuwa Viongozi. Rejea kadhia ya Wanamtandao 2005-2015
 
Mpira wa bongo niliacha kuufatilia tangia enzi za rage,hakuna kitu ni majungu,fitina na uchawi tu kwanini tusiwe kichwa cha mwendawazim??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…