Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Popoma katika ubora wakoNA KWA HABARI NILIZOZIPATA HIVI PUNDE TU ZINASEMA KWAMBA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA KUNA MJUMBE MMOJA AMBAYE KUTOKANA NA USHAHIDI ALIOKUWA NAO TENA WA KIMAWASILIANO YA SAUTI YA RAIS MALINZI AKITOA MAELEKEZO NA AMBAO ALITAKA KUUTOA MBELE YA ILE KAMATI YA UCHUNGUZI WA HILI SAKATA LAKINI AKAZUIWA HADI KUTISHWA SASA ANATAKA KUWAITA WAANDISHI WA HABARI ILI AWEKE KILA KITU HADHARANI KWANI ANASEMA KWAMBA KWA KUWA KAMATI YA AKINA TARIMBA ABBAS ILIYO CHINI YA TFF YA MALINZI IMEAMUA KUMWAGA UGALI SASA YEYE ANATAKA KUMWAGA SI TU MBOGA BALI MAJI YA KUNAWA, VIJIKO, VIBAKULI NA HATA KULITUPILIA MBALI KABISA NA JIKO LENYEWE ILI KILA KITU KIWE HADHARANI. WAANDISHI WA HABARI WOTE WA MICHEZO HAKIKISHENI HAMKAI MBALI KWANI NYANGUMI SASA HIVI ANAKWENDA KUVULIWA!
NITOE WITO AMA OMBI KWA WAZIRI NAPE NA TAKUKURU KUWA FANYENI UPESI TOENI MAELEKEZO WATU WAENDE TCRA UPESI WAKAFUATILIE MAWASILIANO YA HAWA WATU WAWILI Rais Malinzi Na Huyu Bwana Chacha Kiongozi Wa Mashindano Wa TFF Ya Siku 9 Kabla Ya Mechi Ya Geita Gold FC Dhidi Ya KANEMBWA FC Kisha Mawasiliano Ya Hawa Watu Wawili Wakati Wa MAPUMZIKO Wa Hiyo Mechi Huko Mkoani Kigoma. TCRA Tafadhalini Sana TOENI USHIRIKIANO Wenu Kwani USHAHIDI WOTE SASA UPO HADHARANI Kwani Tumechoka KUFANYWA WAJINGA au WAPUMBAVU Na Kikundi Cha Watu Wanaotumia Jasho La Wachezaji Wetu KUJINEEMESHA.
wewe GENTAMYCINE na wenzako acheni umbea, mimi nafatilia toka asubuhi hii thread unaahidi clip utaweka huweki, huo ndo tunasema umbea, kama unaclip si uweke, unaogopa nini, niliposti hapa mchana maneno ya MALINZI alisema kama kuna ushahidi nenda mahakamani, sio unatuletea habari zisizo na mashiko.
clip, clip, clip, clip, clip tumechoka na wimbo huu, kama huna clip, MODERATOR toa takataka hii haina mashiko ni ya upashkuna.
Au ingia www.shaffihdauda.co.tz utaikutawewe GENTAMYCINE na wenzako acheni umbea, mimi nafatilia toka asubuhi hii thread unaahidi clip utaweka huweki, huo ndo tunasema umbea, kama unaclip si uweke, unaogopa nini, niliposti hapa mchana maneno ya MALINZI alisema kama kuna ushahidi nenda mahakamani, sio unatuletea habari zisizo na mashiko.
clip, clip, clip, clip, clip tumechoka na wimbo huu, kama huna clip, MODERATOR toa takataka hii haina mashiko ni ya upashkuna.
Gonga hapo unapata clip live bila chenga
Hivi kumbe mpo washabiki wa mpira vumbi humu??