Sasa ni rasmi Rais wa TFF, Jamal Malinzi amehusika na upangaji matokeo

hivi huyu malinzi ndo yule waliokuwa viongozi wa FAT kipindi kile na WAMBURA au si yeye?maana ile FAT ilikua corrupted kinoma

Kipindi kile hakuwa FAT bali alikuwepo Yanga ambapo na kwenyewe huku WALIMFURUMUSHA Mkuu tena kwa aibu kubwa tu. Yanga unadhani wanataka masihara? Chezea kote ila Wana Yanga wenye timu yao wakiamua lao LINAKUWA na ikiwezekana utaondoka hata kwa BAKORA! Kafukuzwa Mzee Mengi mwenye PESA zake ingekuwa kwa Jamal Malinzi tu ambaye enzi hizo alikuwa anahangaika na akina Rashid Matumla Na Joseph Marwa katika NDONDI?
 
daah mkuu ila nchi imeoza hii aisee rais wa TFF na upangaji matokeo tena!
 
Kwani uchaguzi ujao ni lini? Subiri na tayarisha pesa kwa ajili ya mikakati ya uchaguzi huo ili uingie wewe mkuu, maana majungu ni mengi hata ukikaa wewe.
Kwahiyo wewe hii kashfa haijakuchafua nyongo uko Sawa unaona ni majungu tu, acha kupenda watu penda uongozi mzuri.
 
Umekosea sana kunambia mimi niko loyal kwa Malinzi. Mi sio mwandishi wa habari wala mfanyakazi wa TFF; ni mtu neutral kama ww tu.

Nahisi ungeisoma note yangu usingetokwa na povu lote hili.
Jaribu kurudia kusoma post yangu mpaka mwisho, sio unasoma para moja halafu unaijibu.
Mwenyewe nimeyasema hayo ya mwinyi, lowasa na blatter.

Nimesema Malinzi anaweza kuwajibika kwa makosa ya watendaji wa chini yake ila sio yeye mwenyewe kuhusishwA na huu upangaji wa matokeo
 
Umesema mi nipo loyal kwa Malinzi kwasabab nimepingana na wewe, vp na mimi nikisema na wewe ni loyal kwa wapinzani wa Malinzi kwa sababu unampa tuhuma nyingi ambazo unashindwa kuzithibitisha kwa ushahidi ambao utatufanya na sisi kukuunga mkono kwenye hizi harakati za kuusafisha mpira wetu.
 
Malinzi mwenyewe kasema popote kwenye hela utamkuta . Huyu jamaa bora mngempa Wambura Richard Lawyer by Professional the guy is very smart. ILA huyu jamaa kwa kweli Ni kichomi Na kirusi kikubwa. MALINZI MUST GO.

mkuu ila kiukweliukiangalia kwa jicho la tatu TFF watakua wametuuza kwa mengi sana na kwa miaka mingi sana nadhani tokea kuanzishwa kwake, nadhani ndio taasisi isiyo na mafanikio kabisa kwa tanzania kwa sasa
 
Alitumia karibu million mia tano ku lobby watu wizarani ili a rudishwe kweny mbio za uchaguzi..what did u expected from him...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…