GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #121
hivi huyu malinzi ndo yule waliokuwa viongozi wa FAT kipindi kile na WAMBURA au si yeye?maana ile FAT ilikua corrupted kinoma
Kipindi kile hakuwa FAT bali alikuwepo Yanga ambapo na kwenyewe huku WALIMFURUMUSHA Mkuu tena kwa aibu kubwa tu. Yanga unadhani wanataka masihara? Chezea kote ila Wana Yanga wenye timu yao wakiamua lao LINAKUWA na ikiwezekana utaondoka hata kwa BAKORA! Kafukuzwa Mzee Mengi mwenye PESA zake ingekuwa kwa Jamal Malinzi tu ambaye enzi hizo alikuwa anahangaika na akina Rashid Matumla Na Joseph Marwa katika NDONDI?