Sasa ni rasmi: Timu 10 bora za CAF ikiwemo SIMBA zitaanzia mzunguko wa pili. Hao "wananchi" wataanzia mchangani/mzunguko wa kwanza!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
54 teams are engaged in CL 2023 / 2024.
Accordingly, the 10 highest ranked clubs in the official clubs ranking, shall be exempted of the 1st preliminaryround.The remaining teams are divided into the following: highest ranked teams / less ranked teams / non rankedteams.7 pots have been created according to the above-mentioned groups and according to geographical proximityas follows:3 pots of non ranked teams.4 pots of less ranked teams.The exempted teams and the highest ranked teams are distributed geographically in the fixtures.

Top 10 Teams in Africa 2023 CAF Clubs Ranking (July 2023).​

RankClubCountry2018-192019-202020-212021-222022-23Total
(× 1)(× 2)(× 3)(× 4)(× 5)
1Al-AhlyEgypt3665683
2Wydad ACMorocco5446574
3Espérance de TunisTunisia6343456
4Mamelodi SundownsSouth Africa4333451
5Raja CasablancaMorocco1453351
6ZamalekEgypt5522239
7RS BerkaneMorocco4515037
8CR BelouizdadAlgeria0033336
9SimbaTanzania3032335
10PyramidsEgypt0432235
11Petro de LuandaAngola0.5214233.5
12JS KabylieAlgeria0240331
13TP MazembeDRe Congo43230.530.5
14HoroyaGuinea3321229
15USM AlgerAlgeria0100527
16Orlando PiratesSouth Africa2024024
17Al-HilalSudan2211223
18Young AfricansTanzania0000420
19ASEC MimosasIvory Coast1001320
20Étoile du SahelTunisia3312020

Hapo sitii neno langu la nani zaidi maana namba huwa hazidanganyi!! 10 bora wanaanzia mzunguko wa pili. Wale wenzangu na mimi (siwataji jina maana wanajijua), wanaanzia mzunguko wa kwanza almaarufu kama kuanzia mchangani!!
 
Aloooooooooo.
kumbe mashindano ya kimataifa yana viwanja vya mchanga na viwanja vya nyasi.
Sawasawa mkuu sisi tunaanzia mchangani nyie mnaanzia kwenye nyasi ila unachotakiwa kutambua ni kuwa kila mmoja atapambana na shughuli yake.
mchangani hoyeeeee
 
54 teams are engaged in CL 2023 / 2024.
Accordingly, the 10 highest ranked clubs in the official clubs ranking, shall be exempted of the 1st preliminaryround.The remaining teams are divided into the following: highest ranked teams / less ranked teams / non rankedteams.7 pots have been created according to the above-mentioned groups and according to geographical proximityas follows:3 pots of non ranked teams.4 pots of less ranked teams.The exempted teams and the highest ranked teams are distributed geographically in the fixtures.

Top 10 Teams in Africa 2023 CAF Clubs Ranking (July 2023).​

RankClubCountry2018-192019-202020-212021-222022-23Total
(× 1)(× 2)(× 3)(× 4)(× 5)
1Al-AhlyEgypt3665683
2Wydad ACMorocco5446574
3Espérance de TunisTunisia6343456
4Mamelodi SundownsSouth Africa4333451
5Raja CasablancaMorocco1453351
6ZamalekEgypt5522239
7RS BerkaneMorocco4515037
8CR BelouizdadAlgeria0033336
9SimbaTanzania3032335
10PyramidsEgypt0432235
11Petro de LuandaAngola0.5214233.5
12JS KabylieAlgeria0240331
13TP MazembeDRe Congo43230.530.5
14HoroyaGuinea3321229
15USM AlgerAlgeria0100527
16Orlando PiratesSouth Africa2024024
17Al-HilalSudan2211223
18Young AfricansTanzania0000420
19ASEC MimosasIvory Coast1001320
20Étoile du SahelTunisia3312020

Hapo sitii neno langu la nani zaidi maana namba huwa hazidanganyi!! 10 bora wanaanzia mzunguko wa pili. Wale wenzangu na mimi (siwataji jina maana wanajijua), wanaanzia mzunguko wa kwanza almaarufu kama kuanzia mchangani!!
Timu zinaanzia hatua ya pili kwasababu kuna upungufu wa timu 10 katika mashindano ya klabu bingwa Africa. Timu zilitakiwa ziwe 64 lakini zilizojitokeza kushiriki ni 54 tu. Hivyo kuna gap ya timu 10 hapo kufikisha timu 64. Kuhusu ranking, ni kwamba kuna timu kama Horoya na Tp Mazembe hazipo top 10 kwenye rank ils wamepata favor kwavile timu zingine zilizopo juu hazijafuzu klabu bingwa. Ipo siku utaona hakuna timu yeyote, inayoanzia hatua ya pili ukaja kushanga, hii ni favor inayotokana na kupungua kwa idadi za timu zinazoshiriki klabu bingwa
 
Shida inakuja mkitolewa round ya kwanza ingawa Simba huwa anatolewa Robo Fainali.
 
Kuna mashabiki kila jambo kwao ni sherehe, ni ushindi, ni mafanikio, ni kubwa, nk. Yaani kiufupi tu hawana dogo.
 
Timu zinaanzia hatua ya pili kwasababu kuna upungufu wa timu 10 katika mashindano ya klabu bingwa Africa. Timu zilitakiwa ziwe 64 lakini zilizojitokeza kushiriki ni 54 tu. Hivyo kuna gap ya timu 10 hapo kufikisha timu 64. Kuhusu ranking, ni kwamba kuna timu kama Horoya na Tp Mazembe hazipo top 10 kwenye rank ils wamepata favor kwavile timu zingine zilizopo juu hazijafuzu klabu bingwa. Ipo siku utaona hakuna timu yeyote, inayoanzia hatua ya pili ukaja kushanga, hii ni favor inayotokana na kupungua kwa idadi za timu zinazoshiriki klabu bingwa
Kuwa ndani ya kumi bora siyo favour mkuu!! Ni points ndizo zinazokubeba!!
 
Kwanini hiyo "favor" isiwe kwa utopolo?
 
Nimejaribu kurudia kusoma zaidi ya mara tatu, nimeshindwa kuelewa ulichotaka kusema ni kipi. Kuna points bila ranking? Points ndizo zinazofanya ranking ya ubora wa timu, sasa sijui ulitaka kumaanisha kipi
 
Timu zinaanzia hatua ya pili kwasababu kuna upungufu wa timu 10 katika mashindano ya klabu bingwa Africa. Timu zilitakiwa ziwe 64 lakini zilizojitokeza kushiriki ni 54 tu. Hivyo kuna gap ya timu 10 hapo kufikisha timu 64. Kuhusu ranking, ni kwamba kuna timu kama Horoya na Tp Mazembe hazipo top 10 kwenye rank ils wamepata favor kwavile timu zingine zilizopo juu hazijafuzu klabu bingwa. Ipo siku utaona hakuna timu yeyote, inayoanzia hatua ya pili ukaja kushanga, hii ni favor inayotokana na kupungua kwa idadi za timu zinazoshiriki klabu bingwa
sasa kama ni hivyo kwanini hiyo feva asipewe yanga? oh sorry nimegundua caf wanaipendelea Simba!!!! nepotism!!!
 
Kwanini hiyo "favor" isiwe kwa utopolo?
Kwasababu hajafikiwa na hiyo favour. Mkipanga mstari ili mgawiwe kitu halafu kitu chenyewe hakiwezi kukidhi kwa watu wote (kidogo) basi ni lazima wale walioko mbele yako watapata nawewe utakosa kwasababu haitoshelezi hadi kwako.

Ili Yanga apate hiyo favour, timu zilizojitokeza kushiriki klabu bingwa zingekuwa 46.
 
Hapo kwa Yanga zero zero tupu,inamaana hata kiswahili wamefeli😅😂

shikamoo:Chagua jibu sahihi kati ya A B C

A )
nakuja.
B)marahaba.
C)nakula.

hata hapo👆 wameshindwa,kweli,,!😂😅
 
Katika timu hizo 10 zenye points nying za mchongo kuna facts hizi:

(1) Pyramids ilifungwa na Marumo Gallants ambayo nayo ilifungwa na Yanga home and away.
(2) TP Mazembe ilifungwa na Yanga home and away.

Ni swala la muda tu ukweli utapatokana
 
unajua kuwa points ni makusanyo ya miaka 5 sio mwaka mmoja au umekurupuka tu.
 
Back
Top Bottom