Sasa ni Vita kamili: Israel washambulia mji mkuu wa Lebanon

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
[emoji1630][emoji1630][emoji1630][emoji1630]Hii ni vita kamili, mstari mwekundu ulikua hakuna kwenda Beirut mji mkuu wa Lebanon au kwenda Telaviv mji mkuu wa Israel au Haifa

Mstari mwekundu ulikua ni kusini mwa Lebanon tu na kaskazini mwa Israel

Sasa mzayuni amevuka mstari mwekundu uliowekwa na Hezbollah

Sasa hii ni vita kamili muda wowote tutarajie makombora ya Hezbollah yakitua Telaviv au Haifa

Hili ni kosa kubwa sana Israel kalifanya. Hapo keshajaa kwenye mtego!!

Update: Lengo la shambulizi ilikua ni kumuua kamanda wa Hezbollah lakini hilo shambulizi limefeli vibaya mno. Netanyahu kakimbilia shimoni tayari

Media Sources: After Israel's failed terrorist attack on the suburbs of Beirut, Benjamin Netanyahu entered the fortified shelter in Kirya, the headquarters of the Israeli Ministry of War in Tel Aviv, a few moments ago.
 
Hezibolah wanasukumwa na ahadi ya bikira 72 siyo kingine. Watapigwa vibaya tu
 
Chief of Staff wa Hezbollah kauwawa na Wayahudi. Hezbollah wakaribie uwanjani.
 
Israel anaitaka vita huku viongozi wa dunia wakijaribu kuzuia vita.......

Nadhani dunia inakwenda kushuhudia vumbi lingine la vita vibaya zaidi mashariki ya kati..... itakuwa vita mbaya sana hii.....
 
Tatizo lenu hamyajui "Maandiko" ndiyo maana mnashangaa kusikia au kuona Israeli inapigana vita.

Yote hayo yalikwisha andikwa kuwa lazima yatatokea. Tena, bado kuna vita haijatokea ambayo itawaacha midomo wazi ninyi wenye kushangaa msioyajua Maandiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…