Sasa ni Vita kamili: Israel washambulia mji mkuu wa Lebanon

Nadhani aliyetunga mwthali ya kiswahili ya "AKILI NI NYWELE " alikuwa mwarabu. Mwarabu akishafuga furushi la ndevu hujiona ana akili kuliko mtu yoyote na anaweza kumchokoza mtu yoyote, Sasa wanakutana na watu wenye akili
 
[emoji1630][emoji1630][emoji1630][emoji1630]Hii ni vita kamili, mstari mwekundu ulikua hakuna kwenda Beirut mji mkuu wa Lebanon au kwenda Telaviv mji mkuu wa Israel au Haifa

Mstari mwekundu ulikua ni kusini mwa Lebanon tu na kaskazini mwa Israel

Sasa mzayuni amevuka mstari mwekundu uliowekwa na Hezbollah

Sasa hii ni vita kamili muda wowote tutarajie makombora ya Hezbollah yakitua Telaviv au Haifa

Hili ni kosa kubwa sana Israel kalifanya. Hapo keshajaa kwenye mtego!!

Update: Lengo la shambulizi ilikua ni kumuua kamanda wa Hezbollah lakini hilo shambulizi limefeli vibaya mno. Netanyahu kakimbilia shimoni tayari

Media Sources: After Israel's failed terrorist attack on the suburbs of Beirut, Benjamin Netanyahu entered the fortified shelter in Kirya, the headquarters of the Israeli Ministry of War in Tel Aviv, a few moments ago.
AI inakutafsiria na wewe unatuwekea kama kiingereza ndo source.Source ni chombo gani?Isije ikawa ni madrasa tv
 
[emoji1630][emoji1630][emoji1630][emoji1630]Hii ni vita kamili, mstari mwekundu ulikua hakuna kwenda Beirut mji mkuu wa Lebanon au kwenda Telaviv mji mkuu wa Israel au Haifa

Mstari mwekundu ulikua ni kusini mwa Lebanon tu na kaskazini mwa Israel

Sasa mzayuni amevuka mstari mwekundu uliowekwa na Hezbollah

Sasa hii ni vita kamili muda wowote tutarajie makombora ya Hezbollah yakitua Telaviv au Haifa

Hili ni kosa kubwa sana Israel kalifanya. Hapo keshajaa kwenye mtego!!

Update: Lengo la shambulizi ilikua ni kumuua kamanda wa Hezbollah lakini hilo shambulizi limefeli vibaya mno. Netanyahu kakimbilia shimoni tayari

Media Sources: After Israel's failed terrorist attack on the suburbs of Beirut, Benjamin Netanyahu entered the fortified shelter in Kirya, the headquarters of the Israeli Ministry of War in Tel Aviv, a few moments ago.
Tunaufufua uzi wake we kafiri.

Inasikitisha sana. Wajahidina hawawezi na hawatamuweza mzayuni hata siku 1. Kaeni kwa kutulia sasa.
 
Back
Top Bottom