Hivi kuna mchekeshaji anaitwa pilipili hapa nchini?The guy is smart sio wale kina pilipili sijui watu huwa wanacheka nini yaani nikiwaona nazima runinga kabisa
Kweli huyu jamaa akitoka pale Futuhi inakufa kabisaakiweka vizuri package zake anatoka mkuu.
kwanza ni mvuto kwa watu hayo mengine ni maboresho tu.
huyu jamaa akitoka futuhi inakufa.
Joti tofauti na kuigiza kidada dadaio au kikongwe ana nini cha ziada...?! Mkwere anacheza comedy bila kuvaa matambara na watu wanavunjika mbavu hatari...Mkuu Brother K ninamkubali lakini Joti mmmh ni Habari nyingine aiseee... Halafu Joti kila siku yuko kwenye Kiwango, kwa wale wanaomfahamu Joti toka kipindi kile wanaigiza kwenye tamthilia na mpoki ITV, NAFIKIRI wanaelewa nini namaanisha.
Ingia Youtube tafuta JOTI TV utaelewa maanisha nini!
JOTI anabadilika katika kila character kiufupi hatabiriki!!!
Kwangu MimiJoti tofauti na kuigiza kidada dadaio au kikongwe ana nini cha ziada...?! Mkwere anacheza comedy bila kuvaa matambara na watu wanavunjika mbavu hatari...
ndio majuto amepanga nyumbani kwake, yeye ndio landlord hiyo nyumba inawapangaji kibao utata mtupu humo brother K hafai.
Alinikera sana Naye akaanza kuleta story za ma slay queen Badala Alete kitu cha tofauti, wale Akina prof Hamo, Mc Trick, Mrume, Jemutai, Mamito, Y.Y wale ni nomaaa, huwa sipitwi hicho kipindi, nikichelewa ntaingia hata you tube nienjoy.Pilipili nilimwangalia kwenye churchil show niliudhika mapka nikaacha mwangalia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Sumaku yuko poa sana aiseeKwangu Mimi
1. Mkwere.
2. Sumaku
3. Mzee Matata
4. Brother K
5. Tin White
Sent using Jamii Forums mobile app
mkwele anatumia nguvu nyingi mno kuforce kuchekesha. pale huwa nawakubali wote kikosi kizima cha mizengwe ila mmojammoja chenga tu.Joti tofauti na kuigiza kidada dadaio au kikongwe ana nini cha ziada...?! Mkwere anacheza comedy bila kuvaa matambara na watu wanavunjika mbavu hatari...
Hata na hivyo futuhi ya sasa bado sana, haijafikia kiwango cha wale jamaa walioondoka akina babu mkombe, mchele na yule mzee aliyefariki...
ukisoma utacomment.Yaani achukue nafasi ya Mzee Majuto unamaanisha aanze kuugua ugonjwa ule na kulazwa hospital ileile na aje afe vile vile au mie ndo sijaelewa?
Maana nimekoment kabla sijasoma uzi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Professor Hamo ni habari nyingine ua ananivunja mbavuAlinikera sana Naye akaanza kuleta story za ma slay queen Badala Alete kitu cha tofauti, wale Akina prof Hamo, Mc Trick, Mrume, Jemutai, Mamito, Y.Y wale ni nomaaa, huwa sipitwi hicho kipindi, nikichelewa ntaingia hata you tube nienjoy.
Usinikumbushe enzi zile[emoji23] [emoji23] yaan ikifika mida ya kipindi kuanza shughuli zote zinasimama. Sasa usiombe uwe njiani either kwenye daladala....Ila tuache ushabiki orginal comedy ilikuwa kitu kingine wakati wanaanza mzazi saa moja yupo home kusubir orginal comedy
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawapenda sana Aina ya comedians ambao Hawatumii nguvu kubwa kuchekesha BT unabaki we ndo unacheka
Alinikera sana Naye akaanza kuleta story za ma slay queen Badala Alete kitu cha tofauti, wale Akina prof Hamo, Mc Trick, Mrume, Jemutai, Mamito, Y.Y wale ni nomaaa, huwa sipitwi hicho kipindi, nikichelewa ntaingia hata you tube nienjoy.
Kwa bongo, mpoki na jot wako vizuri wanajiupgrade as time goes, namaanisha jot na mpoki huyu Si wale wa miaka ile...
Wewe braza K, yuko vizuri kinoma..Kweli binadamu tumetofautiana, mi binafsi huyo jamaa namuona wa kawaida sana ndio maana nikionaga Futuhi nabadili Channel fasta, comedy za kupigana kilasiku kama matoto, na hawezi kuchekesha bila kuvaa nguo oversize ndo umfananishe na yule mzee ambaye anauwezo wa kukuchekesha hata akivaa suti? Huyo hastahili hata kufunga gidamu za viatu vya Joti, labda unaweza mfananisha na Bambo ndo size yake. Mtu pekee anayeweza kurithi mikoba ya Majuto ni Joti
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Sumaku noma sana, hahitaji kuvaa manguo makubwa kukuchekeshaKwangu Mimi
1. Mkwere.
2. Sumaku
3. Mzee Matata
4. Brother K
5. Tin White
Sent using Jamii Forums mobile app