Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,934
- 10,206
Hivi kuna mchekeshaji anaitwa pilipili hapa nchini?The guy is smart sio wale kina pilipili sijui watu huwa wanacheka nini yaani nikiwaona nazima runinga kabisa
Maana ndo leo naanza kusikia jina hili
Sent using Jamii Forums mobile app