konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,696
- 8,763
Kwa haya yanayoendelea nchini dhidi ya hii mihimili miwili sasa ni wakati muafaka wa watanzania kujua weledi wa bunge lao. Kwa hali iliyopo bunge makini lina options mbili tu nazo ni 1. kupiga kura ya kutokuwa na imani na rais 2. Kupiga kura ya kutokuwa na imani na spika wa bunge. Bunge kuwa neutral kwenye hili sakata ni kipimo tosha cha kutambua weledi wa bunge letu.