konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,696
- 8,763
Mwenyekiti wakuongoza hiyo michakato anatokea wapi?Kwa haya yanayoendelea nchini dhidi ya hii mihimili miwili sasa ni wakati muafaka wa watanzania kujua weledi wa bunge lao. Kwa hali iliyopo bunge makini lina options mbili tu nazo ni 1. kupiga kura ya kutokuwa na imani na rais 2. Kupiga kura ya kutokuwa na imani na spika wa bunge. Bunge kuwa neutral kwenye hili sakata ni kipimo tosha cha kutambua weledi wa bunge letu.
Sasa nafasi imeshajitokeza ya wao kuproove kama ni dhaifu au sio dhaifu.Walimuonea bure tu yule CAG aliyepita. Aliwaita wanachostahili. Bunge Dhaifu.
Hilo linawezekana tu endapo hotuba ya jana imewaamsha usingizini kuwakumbusha nafasi yao. Vinginevyo sioni kiongozi wa kuongoza hilo la kuonyesha uimara wao.Sasa nafasi imeshajitokeza ya wao kuproove kama ni dhaifu au sio dhaifu.
Historia itawahukumu. This is a very important chapter for our parliament history. Vizazi na vizazi vitasoma na itakuwa case study kwa vizazi vijavyo either bunge kuwa neutral or to react, whichever the case may be.Hilo linawezekana tu endapo hotuba ya jana imewaamsha usingizini kuwakumbusha nafasi yao. Vinginevyo sioni kiongozi wa kuongoza hilo la kuonyesha uimara wao.
Kumbuka hadi hapo bunge limeshajeruhiwa tayari.
Sio kwa udhaifu huo walionaoKwa haya yanayoendelea nchini dhidi ya hii mihimili miwili sasa ni wakati muafaka wa watanzania kujua weledi wa bunge lao. Kwa hali iliyopo bunge makini lina options mbili tu nazo ni 1. kupiga kura ya kutokuwa na imani na rais 2. Kupiga kura ya kutokuwa na imani na spika wa bunge. Bunge kuwa neutral kwenye hili sakata ni kipimo tosha cha kutambua weledi wa bunge letu.