Sasa ni wakati wa kuianika mikataba yote ya Magufuli kama wao walivyoanika mkataba wa Bandari ya Bagamoyo na mingineyo

Niliuwaga muumini mzuri wa Upinzani,baadae niliona ni Usanii mtupu umewajaa! Sasa hivi JK kageuka kuwa Malaika kwao. Kweli JPM aliwanyoosha.
Ningenda kukuita mataga(japo mshakufa sasa), vip nitakuwa nimekukwaza mkuu?
 
Masikini ni Masikini tu na kamwe huwa anamchukia tajiri, hujui kuwa kuna watu wamefanya sherehe mpaka kuchinja mbuzi au ng'ombe? Poor you.
 
Jiwe ni mwizi kuliko ma Rais wote, sema aliweza kujificha sana, acha aende akajibu mbele, Mungu kaingilia kati kunusuru matatizo
 
Mbona kama una akili za kijiwe jiwe, je mna undugu?
 
Zile details hazikuwa na privacy yoyote na wala hakukuwa na implications yoyote kwa Kikwete, kwani zilikuwa bado ni proposals tu kabla ya kufikia makubaliano. Inawezekana kabisa kuwa hata Kikwete mwenyewe angezikataa!!
Sasa kama ni proposals, subject to negotiations alikuwa na sababu gani za kuziweka hadharani na kuwaamimisha watanzania vile walivyoaminishwa? Proposals are just proposals. Huwezi kulalamikia proposals za mwenzio hata kidogo cause na wewe una proposals zako ambapo kazi kubwa ni kufanya "terms convergence". In short, alimdhalilisha mzee wa msoga kwa sababu public iliaminishwa kwamba ile ndio final proposa iliyofikiwa na mzee wa msoga. Hilo alichemka na kuuacha ule mradi alichemka zaidi.
 
Onyesha chembe ya ubinadam au uungwana japo kidogo tu!
Subirini kwanza tumalize kuomboleza. Mambo mengine yatafuata mkondo wake.
 
Wewe ni chizi kama mwenzio, ok so hutaki kujua mikataba aliyo sign jiwe?
 
Ulikuwa wapi wakati Nyerere analetwa kutoka London au anasafirishwa kwenda Butiama? Watu walikuwa nyomi, walilia, walizimia na hata kufa huku baadhi yao hawajawahi kumuona au kuona aliongozaje. Na kumbuka hakukuwa na whatsaap, twitter, fb wala jf.
Hao ndio watanzania. Ni mchanganyiko wa brains nyingi: waigizaji, wasanii, wasiojielewa, wanaojielewa, wafuata mkumbo, wambeya, la saba B.....list haina ukomo. Hivyo uliyoyaona siyo reflection halisi kwamba wote hao wameguswa na uchapakazi. Wahenga walisema kwenye kundi la mamba na kenge wamo.
 
Nionavyo mimi hilo halitatokea kwa sababu ya tofauti ya personalities. Mama Samia si mtu wa kutaka sifa za kijinga za kuwaponda watanglizi wake. Mabadiliko kama yatatokea yatakuwa na maelezo yanayojitosheleza
 
Ww unafikiri Ngosha ni mkwele! Mikataba ya sasa imesimama wima, hakuna ngulai za JK hapa! Tupo salama!
 
Hatuwezi kusitisha mikataba yenye maslahi ya kitaifa.Ule mradi wa bandari ya Bagamoyo hakuna shaka yeyote kwamba haukuwa na maslahi ya kitaifa.Hata hivyoo, wewe una hangaika bure,miradi yote ya Magufuli ipo kwenye ilani ya CCM,kwa hiyo ni halali.Halafu wa ku-authorize huo uchunguzi ni nani,kwa kuwa wananchi,serikali na chama vyote vinaamini kwamba aliyokuwa anafanya Magufuli ni sahihi.

Niseme hivii,Samia will be digging her own grave by deviating from Magufulis' path.Mind you,Samia anamalizia tu alipoachia Magufuli, kwa hiyo anachotakiwa kufanya ni kusimia kikamilifu miradi yote iliyopo until their competition, na kama ipo mingine ambayo ipo kwenye ilani ya CCM,aianzishe.La msingi tu ni kwamba lazima ahakikishe resources za kutosha zitakuwepo to their completion.
 

Mkuu Kuna uzi wako kuhusu Kikwete unaitwa. Ila pumzika tuko msibani. Unaoneka wewe miss bwabwaja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…