heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Mambo mengine kumbe huja automatic, nakuwa na msukumo mno wa kuwa na familia,watoto najihisi msukumo tokea ndani ya nafsi yangu
Umri unakimbia age mate wote nafikiri now wanafamilia kama si kuzalisha au kuzalishwa 1yr left to reach 30floor
Natamani sasa mtu wa kupigizana nae kelele nimechoka kuwa mpweke
Kwasas sina mwanamke sirias kila ninapokanyaga ni single maza mpaka naona uvivu unakuta adi kisichana cha 2005 kinalea,
Endapo nitadondoka sasaivi sina ushahidi nitakao acha kama nilikuwepo ,sikuamua tu kupata watoto mapema sikutaka kuwa kama dingi tupo wengi malezi zero
Now officially namsaka saka mrembo tutoe copy nzuri.