heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Kila ka kheri mkuuNow officially namsaka saka mrembo tutoe copy nzuri,
Utawala wa baba wa kambo huwa unaisha pale real daddy anapo kick in.Single mother Wana shida gani acha kukaririshwa na masela wasio jua thamani ya mtu wasio jua maisha...mwanzo nilikuwa kama wewe tu kuamini single...
Huo ni uoga wako tu kwamba aliyemzalisha pengine alimkimbia majukumu akahamia mwanza so wewe ukimuoa single maza Arusha basi Jamaa atakuwa anatoka mwanza anakuja kuzalisha mkeo kisha akitia mimba anakimbia Tena????!!!! Wewe ni mtu mzima kuwa na akili zilizokomaa.. Tunawaponda single mother ila unakuta hata mama zetu pia wamepitia mambo hayo hayo ya usingle mother... Familia za baba mama na watoto ni chache mno mkuu usikariri.Utawala wa baba wa kambo huwa unaisha pale real daddy anapo kick in.
Jamaa anaeza akawa anakuzalishia watoto wewe unalea tu, watu wakikwambia umefanana na mwanao masikio na wewe bichwa linavimba kumbe unalea shahawa za mwanaume mwenzio.
Na kwa nini ukaanzishe familia yako mahali alipoanzisha familia mwanaume mwenzio? Wanawake wameisha? Fikiri nje ya box bro.
View attachment 3032882
Ni babu?Hope urassa hutaki kupigizana kelele na mwenzio.
Nop. Ni kijana mwenzako pumzi full tank. He'z approaching 3rd floorNi babu?
Basi tenaNop. Ni kijana mwenzako pumzi full tank. He'z approaching 3rd floor
Lini utaacha kuvizia mafao ya wazee. 😪Basi tena
Mambo mengine kumbe huja automatic, nakuwa na msukumo mno wa kuwa na familia,watoto najihisi msukumo tokea ndani ya nafsi yangu
Umri unakimbia age mate wote nafikiri now wanafamilia kama si kuzalisha au kuzalishwa 1yr left to reach 30floor
Natamani sasa mtu wa kupigizana nae kelele nimechoka kuwa mpweke
Kwasas sina mwanamke sirias kila ninapokanyaga ni single maza mpaka naona uvivu unakuta adi kisichana cha 2005 kinalea,
Endapo nitadondoka sasaivi sina ushahidi nitakao acha kama nilikuwepo ,sikuamua tu kupata watoto mapema sikutaka kuwa kama dingi tupo wengi malezi zero
Now officially namsaka saka mrembo tutoe copy nzuri,
May be wanahisi nishaoa but kijana mmoja tu hivi kama mtawa wa kanisambona wapo wengi wanahitaji ndoa unafeli wapi?
Kweli mkuu upo sahihi kabisa,yupo binti wa 2005 nafikiri ila ameshatoa mimba mbili sio zangu na kweli mtu waweza jichanganya vizuri tu bila kujuwaSingle mother Wana shida gani acha kukaririshwa na masela wasio jua thamani ya mtu wasio jua maisha.
Mwanzo nilikuwa kama wewe tu kuamini single mother hawafai ila baadae baada ya kujua maisha na vyote ni ubatili na vina pita nime change msimamo.
Yamewatokea mengi mengine huwezi kuyajua ni heri km mzuri mchukue.. Ila mwanzon asikuletee mtoto wake kwanza amuache kwao kwanza....
Kuna demu mwingine unamuona hana mtoto ila jua kashatoa mimba kibao hata tano sasa si heri aliyezaa
Upo sahihi kabisa huu ni msukumo toka within pia unachochewa na ndugu zangu hasa sisters zangu wapo radhi kunitafutia hata mkeTakwimu zinasema 60%-70% ya ndoa ambazo wanandoa waliooana,
1)wanaishi mijini
2)wanalingana kipato.
3)wana elimu sawa/wamepishana kidogo.
Huwa zinavunjika ndani ya miaka 3-5
Unaoa ili ugundue nini mzee?
Vijana wengi tukishaanza kupata mafanikio, huwa tunakimbilia kuoa na mara nyingi unakuta ni ndugu ndio huwa wanashawishi.
Unakuta simu za mashangazi hazipungui. Halafu unakuta anaekwambia uoe yeye mwenyewe ameachika.
U
Kataa ndoa na ulinde kibunda mzee!!!