Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Hawa ndo wenyeji wa jiji la Dar. Wamefukuzwa wamekufukuziwa huko pembezoni mwa Mji na bado wanafuatwa kama vile haitoshi.
Nashauri ni wakati wa sasa nao kudai jiji lao maana wamekuwa watumwa na watu wa daraja la chini. Mi naumia sana. Sisi tuna nyumba mitaa flani ndo tumebaki sisi tu baada ya kugoma kuuza. Akina Mzee Saidi Ngimba Matepwele ,akina Jamhuri Kitambinjaa, akina Mzee Amri Kidekule, akina Sheikh Ngunde, Sheikh Mtopelo , Sheikh Abdallah Tumbo na Kufakunoga. Walishauza maeneo yao sasa wanalia njaa tu hapa Mjini.
Nashauri tuanzishe movement yetu ya ZARAMO BACK TO DAR. ZB2D kule Mbezi, Oysterbay, Masaki, Mussa Hassan kote kulikuwa kwetu. Leo hii Mabeberu na Walowezi ndo wametamalaki. Inaumiza sana.