Sasa ni wakati wa Wazaramo pia kudai Dar Es Salaam yao

Sasa ni wakati wa Wazaramo pia kudai Dar Es Salaam yao

wazaramo hawafukuzwa,,tatizo wanauza maeneo kwa ajili ya kucheza watoto wao,mimi mwenyewe hapa nilinunua kiwanja mvuti kutoka kwa mzaramo mmj [milioni4],,,,,baada siku tatu nilipoenda kutembelea eneo langu,,,nilipigwa butwaa,,,,kulikuwa na ngoma,vyakula na mambo kibao!!!!!''''''[walioniuzia wapo jiratu tu eneo langu],,,,,,,unaambiwa sherehe ilifanyika kwa wiki nzima!!!
Ndo tulivyo hatuna hiyana na tunaishi kwa kupendana. Tunakula wote na ku enjoy
 
Mzee Mgodelo si alikuwa tabata? Akapauza akanunua banda msanga,sasa hivi anauza tena, anasema amepata kiwanja lugoba, kwenye ma karasha huko.
Mzee Mgodelo yupi mkubwa au mdogo? Tabata sehemu gani?
 
Ni kweli wazaramo wamepisha wenyewe maeneo wasiyoweza kuyaendeleza. Mji wa dar umejaa wahamiaji wengi tofauti na miji ya wachaga, wahaya, wanyakyusa. Moshi ni ngumu kumsukumia mbali mchaga ili tu mgeni upate eneo ujenge kitegauchumi chako. Umasikini ndio umefanya wazaramo wasukumiwe mbali wapishe maeneo magorofa yajengwe
 
Back
Top Bottom