wazaramo hawafukuzwa,,tatizo wanauza maeneo kwa ajili ya kucheza watoto wao,mimi mwenyewe hapa nilinunua kiwanja mvuti kutoka kwa mzaramo mmj [milioni4],,,,,baada siku tatu nilipoenda kutembelea eneo langu,,,nilipigwa butwaa,,,,kulikuwa na ngoma,vyakula na mambo kibao!!!!!''''''[walioniuzia wapo jiratu tu eneo langu],,,,,,,unaambiwa sherehe ilifanyika kwa wiki nzima!!!