Sio kariakoo tu, hata ndani ya bunge wamejaa haohaoBaada ya Mwendazake kuondoka sasa ni wakati wa kuwaondoa wamachinga wote sehemu zisizokuwa rasmi kibiashasha na kuwatafutia sehemu rasmi.
Lazima tuwe na utaratibu sasa, jiji la Dar wamachinga wamekuwa kama uchafu, ukifika Kariakoo barabara Msimbazi, makutano ya Msimbazi Uhuru wamacinga mpaka barabarani, mbaya zaidi wanajenga mabanda mabovu.
Waachwe hapohapo nao wapate urahisi wa riziki si kuja kuwaondoa na kuwapeleka maeneo ambsyo ni tabu hadi kufikika. Kama njia yako ya riziki ipo sawa, usitibue za wengine, siku zote wanapopelekwa hata Wateja hakuna
Ungekua wewe unafanya biashara ungeelewa ni nini hasa hawa Machinga wanakizuia, Lakini kwa vile hujawai kufanya biashara mahali si ajabu kuwatetea hawa machinga,Mamlaka za miji zitekeleze wajibu wao wa mipango miji , Hakuna mahali pengine duniani kunafanyika hali ya namna hii, Watu wanapanga bidhaa barabarani wengine mpaka kupika chakula wanapika na majiko ya mkaa barabarani? Magufuli alituharibia nchi sana sasa sheria zitumike kuwaondoa sababu wana maeneo yao tengefu pembezoni na miji.Waachwe hapohapo nao wapate urahisi wa riziki si kuja kuwaondoa na kuwapeleka maeneo ambsyo ni tabu hadi kufikika. Kama njia yako ya riziki ipo sawa, usitibue za wengine, siku zote wanapopelekwa hata Wateja hakuna
Wapelekwe kwenye masoko mfano machinga complex wanaharibu sana utaratibu hawa jamaaNdiyo mtafute pa kuwapeleka!
Huo mtihani
Ova