Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbuga zipo Tanzania uzinduzi unafanyikia Marekani?SASA NI ZAMU YA LOS ANGELES. NI KESHO ALHAMISI, UZINDUZI WA PILI WA ROYAL TOUR.
Na Bwanku M Bwanku.
Baada ya Juzi Jumatatu Aprili 18, 2022 Rais Samia Suluhu Hassan kuusimamisha Ulimwengu wakati akiongoza Uzinduzi wa Filamu Maalum ya Watanzania ya Royal Tour Mahususi kwa ajili ya Kutangaza Utalii na Uwekezaji wa Tanzania Kimataifa pale New York, Marekani, sasa kesho Alhamisi Aprili 21, 2022 ni zamu ya Los Angeles. Ni historia nyingine inakwenda kuwekwa Los Angeles katika safari ya kuisimamisha Tanzania kwenye Anga za Kimataifa.
Baada ya Rais Samia kuwaongoza Watanzania kuzindua Filamu hii kwa mara ya kwanza toka kuandaliwa kwake pale New York, sasa macho na masikio yanahamia Los Angeles kwenye Uzinduzi wa Pili wa Filamu hii ya Royal Tour inavyokwenda kupaisha zaidi Sekta ya Utalii na Uwekezaji ili Taifa letu lipate Maendeleo makubwa zaidi. Ni kesho Alhamisi pale Los Angeles, Marekani.
#TunaImaninaRaisSamia
#TanzaniaRoyalTour
#KaziInaendelea
Bwanku M Bwanku.
View attachment 2193798
Anapiga pesa za bara taratibu maana bara ni shamba la bibiHuyu kikongwe mvaa ushungi anazidi kuchanja mbuga.
Hatulii akakaa kwenye mji wake anapapatika kwenye nchi za watu kama sungura-tope.
Ati Royal Tour? Ujinga mtupu!
Katiba mbovu utafanyaje sasa?Asee hv tumekubalije upuuzi huu
Anazurura kwenye nchi ya watu, jambo la kushangaza mwenye nchi wala hana habari nae.😅Huyu kikongwe mvaa ushungi anazidi kuchanja mbuga.
Hatulii akakaa kwenye mji wake anapapatika kwenye nchi za watu kama sungura-tope.
Ati Royal Tour? Ujinga mtupu!
Mwenye nchi yuko bize anajenga nchi yake!Anazurura kwenye nchi ya watu, jambo la kushangaza mwenye nchi wala hana habari nae.😅
Tharau kubwa sana hii.