Sasa ni zamu ya Los Angeles. Ni Alhamisi 21 Aprili, uzinduzi wa pili wa Royal Tour

Mbuga zipo Tanzania uzinduzi unafanyikia Marekani?
 
Hivi lini hiyo dunia itasimama?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nachojua kifo Cha Magufuli n mpango wa binadamu

KUFA kufaana ila.inapendeza Mwenyezi Mungu akuite kwa mapenz yake na si ya binadamu mwenzio

Uzuri hakuna aliyeishi milele

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ni aibu kwa mwanamme kudanga kwa mgongo wa Mama
 
Mama ndani ya LA, anaishi ile nyimbo Party in USA
 
Nawewe kazindue yako ila mm naona yupo sawa maana kilamtu anawasifia rwanda nakuwabeza tz sasa wamefanya jambo kelele marehemu hakusafiri kelele je sisi tusiyo juwa mtatubeba vipi autupate mtu anae ishi ulaya kama lisu kimambi hatujuwi kuweni wawazi kama ccm ukipata tumia ukikosa jutia kuliko kuwa wanafiki.
 
Huyu kikongwe mvaa ushungi anazidi kuchanja mbuga.

Hatulii akakaa kwenye mji wake anapapatika kwenye nchi za watu kama sungura-tope.

Ati Royal Tour? Ujinga mtupu!
Anazurura kwenye nchi ya watu, jambo la kushangaza mwenye nchi wala hana habari nae.πŸ˜…

Dharau kubwa sana hii.
 
Wizi mtupu hamna jipya apo
Mimi ni mfuasi mkubwa sana wa SSH na namkubali sana ila kwa upuuzi na ujinga wa namna hii ndo unasababisha watu tunamkumbuka Jiwe(mungu mtu).
Uzinduzi gan uwo wa sehemu tano kote mnazindua nn
 
Anazurura kwenye nchi ya watu, jambo la kushangaza mwenye nchi wala hana habari nae.πŸ˜…

Tharau kubwa sana hii.
Mwenye nchi yuko bize anajenga nchi yake!

Hangaya is invisible there. Ni kama sisimizi asiye na potential.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…