Sasa ni zamu ya Urusi kuokoa raia wao katika mji wa Kharson, Ukrean inapania kuchukua jimbo la Kharson lilonyakuliwa na mavamizi

Subiri ahamishe raia wake halafu uone huo mziki utakaofuata hapo. Watapigwa hadi wachakae
Hahahaha endelea Kuota,chawa wa Putin wamepagawa huku wakati juzijuzi hapa walikua wanashangilia matokeo ya referendums [emoji23][emoji23][emoji23]

Meanwhile in Russia: anger and disappointment fill the studio, as the viewers are being prepared for the loss of Kherson and other territories. Host Olga Skabeeva bitterly questions why Russia was so wrong in the beginning, believing that Zelensky would run & NATO wouldn't help.

Putin akili nyingi sana... Mwisho wa siku raia wote wa Ukraine watamuona mwema kuliko Raisi wao Zele
Hivi upo serious au unatania?! Yani hawa hawa Raia wa Ukraine waliopoteza Mama zao,Baba zao,watoto wao na ndugu zao wamuone Putin mwema kisa tu anahamisha Raia baada ya kuona ameelemewa na mashambulizi toka majeshi imara ya Ukraine?!!!!!!!
 
Endelea kujifariji ila jua tu baada ya raia.kuhifadhiwa ndio utajua nini kitatokea, kumbuka, hadi saivi sio kama Ukraine wameshashambulia kharson hasha! Ila intelligence ya Russia I?esha-detect kutatokea mashambulizi ndio maana wanahamisha "raia wao" mkija mnakutana na package 😆😆😆😆
 
Ndo mnavyojidanganya[emoji23][emoji23][emoji23]?!

Hypersonic missiles nazo ni za mwaka gani?!

Kalibr cruise missiles?!

Iskander?!

Kh-55 missiles??

Orlan 10 drones!?

Podlet K1 Radar!?

Hizo ni chache tu.
 
Ndo mnavyojidanganya[emoji23][emoji23][emoji23]?!

Hypersonic missiles nazo ni za mwaka gani?!

Kalibr cruise missiles?!

Iskander?!

Kh-55 missiles??

Orlan 10 drones!?

Podlet K1 Radar!?

Hizo ni chache tu.
Tulia acha kurukaruka kama bisi. Umesoma kwenye uzi kama kuna shambulizi lolote la Ukraine Kherson? Au umevamia kuanza kujibu kila mtu?
 
Hehe tumewazoea.......baadae mnakuja kulialia kuonewa huruma
 
Hahahaha kwani huna habari kama Ukraine isharudisha 1000km² huko Kherson Oblast?! [emoji23][emoji23]
Yani ukubwa karibu DAR nzima maana ukubwa wa DAR yote ni 1500km².

Kwani hiyo intelligence ya Russia ilikua wapi Ukraine ilipotangaza kufanya counter offensive Kherson baadae wakaenda kuifanya Kharkiv,Russia ikaupoteza huo mji wote ambapo ilipelekea kupoteza miji muhimu kama Kupiansk na Lyman ambayo ilikua kitovu cha usafirishaji cha Russia kwenda majeshi yote kusini mwa Ukraine.
 
Ndo mnavyojidanganya[emoji23][emoji23][emoji23]?!

Hypersonic missiles nazo ni za mwaka gani?!

Kalibr cruise missiles?!

Iskander?!

Kh-55 missiles??

Orlan 10 drones!?

Podlet K1 Radar!?

Hizo ni chache tu.
Mpya zote zinatumika mara chache na kwa kazi maalum....ila mapambano ya kila siku anatumia za zamani tu.........angesema atumie mpya na aweke mziki wote kavita kangeisha mapema na tungekosa ladha sie washabiki wake
 
Hatumii Arsenal yake halafu anaikimbia miji aliyodai ameichukua na kuweka vibaraka wake,

Hivi hii ni akili kweli au Putin kichwani zimeyumba?!
Anasubiri nato gani wakati NATO wako uliñgoni na kila siku wanatuma fedha na silaha hadharani?
 
N
Takutag shughuli ikiianza bada ya hii evacuation
 
Hatumii Arsenal yake halafu anaikimbia miji aliyodai ameichukua na kuweka vibaraka wake,

Hivi hii ni akili kweli au Putin kichwani zimeyumba?!
Anasubiri nato gani wakati NATO wako uliñgoni na kila siku wanatuma fedha na silaha hadharani?
Wapi anakimbia? Yaani kuhamisha raia ili wasipatwe na madhara ya vita ni kukimbia, uelewa wako upo sawa uje uniambie wakiikomboa hio miji
 
Tulia acha kurukaruka kama bisi. Umesoma kwenye uzi kama kuna shambulizi lolote la Ukraine Kherson? Au umevamia kuanza kujibu kila mtu?
Hahahaha mbona povu[emoji23][emoji23][emoji23]

Kwani hujui kama Ukraine inaendesha counter offensive kusini na kaskazini?! Ukraine inashambulia Kherson, Zaporizhzhia, Donestsk na juzijuzi hapa majeshi Yao yameingia Luhansk na kote huko yanasonga mbele, mpaka Babu yenu Putin kuweka martial law usidhani ni utani Ila mambo magumu. We endelea kukaa hapo ukisubiri mpaka Urusi ndo wakwambie kwamba Ukraine imefanya shambulizi kherson
 
Mpya zote zinatumika mara chache na kwa kazi maalum....ila mapambano ya kila siku anatumia za zamani tu.........angesema atumie mpya na aweke mziki wote kavita kangeisha mapema na tungekosa ladha sie washabiki wake
Za zamani kama zipi?!
 
Wapi anakimbia? Yaani kuhamisha raia ili wasipatwe na madhara ya vita ni kukimbia, uelewa wako upo sawa uje uniambie wakiikomboa hio miji
Snake Island
Kharkiv
Kupiansk
Lyman
Izium

Hiyo yote ni miji muhimu ambayo Russia imetandikwa na kukimbia na sasa majeshi ya Ukraine yako mbioni kuikamata Kreminna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…