EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Mzee kajipanga kabla hajaingia kwenye hii OPkuna watu hawaelewi hiv vitu, stoke ya putin ni dam tupu NATO wamestukia mchezo😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee kajipanga kabla hajaingia kwenye hii OPkuna watu hawaelewi hiv vitu, stoke ya putin ni dam tupu NATO wamestukia mchezo😂
Subiri ahamishe raia wake halafu uone huo mziki utakaofuata hapo. Watapigwa hadi wachakae
Keep dreaming, this guy has never lost a war
Hahahaha endelea Kuota,chawa wa Putin wamepagawa huku wakati juzijuzi hapa walikua wanashangilia matokeo ya referendums [emoji23][emoji23][emoji23]Subiri ahamishe raia wake halafu uone huo mziki utakaofuata hapo. Watapigwa hadi wachakae
Hivi upo serious au unatania?! Yani hawa hawa Raia wa Ukraine waliopoteza Mama zao,Baba zao,watoto wao na ndugu zao wamuone Putin mwema kisa tu anahamisha Raia baada ya kuona ameelemewa na mashambulizi toka majeshi imara ya Ukraine?!!!!!!!Putin akili nyingi sana... Mwisho wa siku raia wote wa Ukraine watamuona mwema kuliko Raisi wao Zele
Hahahaha hivi Yule jamaa yupo wapi sijaona Uzi wake mudaaaItabidi mlengwa wa kulia alete Tena ule Uzi wake ,,urus umeuvunja moyo wangu sehemu ya 6[emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hahahaha endelea Kuota,chawa wa Putin wamepagawa huku wakati juzijuzi hapa walikua wanashangilia matokeo ya referendums [emoji23][emoji23][emoji23]
Meanwhile in Russia: anger and disappointment fill the studio, as the viewers are being prepared for the loss of Kherson and other territories. Host Olga Skabeeva bitterly questions why Russia was so wrong in the beginning, believing that Zelensky would run & NATO wouldn't help.
Ndo mnavyojidanganya[emoji23][emoji23][emoji23]?!Kwasababu tu hujui, NATO wanachanganyikiwa kwanini hatumii arsenal yake anaamua kununua, usidhani hana akili.
Stock is full anasubiri NATO waingie ulingoni ndio ujue mziki wake.
Ndio maana toka hii OPS inanze westerners wanalalamika Russia anatumia silaha za zamani.
Can you imagined ile meli ya Russia ni ya miaka ya 1950's [emoji28][emoji28][emoji28]
Tulia acha kurukaruka kama bisi. Umesoma kwenye uzi kama kuna shambulizi lolote la Ukraine Kherson? Au umevamia kuanza kujibu kila mtu?Ndo mnavyojidanganya[emoji23][emoji23][emoji23]?!
Hypersonic missiles nazo ni za mwaka gani?!
Kalibr cruise missiles?!
Iskander?!
Kh-55 missiles??
Orlan 10 drones!?
Podlet K1 Radar!?
Hizo ni chache tu.
Hehe tumewazoea.......baadae mnakuja kulialia kuonewa hurumaSi mji wa kwanza Ukrain kurejesha kumbuka Lyman na ni mji muhimu huko donbas, Russia imeshindwa ku-retake
Hakuna hata mji mmoja Ukrain wamerejesha halaf mvamiz akauchukua tena, urusi saiv taaban nafsi zao hawana silaha hawana jeshi, hayo mashambulizi ya Kyiv juzi walikodi drons kutoka Iran na zimedondoshwa kibao, walifanikiwa kuua raia 19 na kuangusha majeng ya raia
Hahahaha kwani huna habari kama Ukraine isharudisha 1000km² huko Kherson Oblast?! [emoji23][emoji23]Endelea kujifariji ila jua tu baada ya raia.kuhifadhiwa ndio utajua nini kitatokea, kumbuka, hadi saivi sio kama Ukraine wameshashambulia kharson hasha! Ila intelligence ya Russia I?esha-detect kutatokea mashambulizi ndio maana wanahamisha "raia wao" mkija mnakutana na package [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mpya zote zinatumika mara chache na kwa kazi maalum....ila mapambano ya kila siku anatumia za zamani tu.........angesema atumie mpya na aweke mziki wote kavita kangeisha mapema na tungekosa ladha sie washabiki wakeNdo mnavyojidanganya[emoji23][emoji23][emoji23]?!
Hypersonic missiles nazo ni za mwaka gani?!
Kalibr cruise missiles?!
Iskander?!
Kh-55 missiles??
Orlan 10 drones!?
Podlet K1 Radar!?
Hizo ni chache tu.
Hatumii Arsenal yake halafu anaikimbia miji aliyodai ameichukua na kuweka vibaraka wake,Kwasababu tu hujui, NATO wanachanganyikiwa kwanini hatumii arsenal yake anaamua kununua, usidhani hana akili.
Stock is full anasubiri NATO waingie ulingoni ndio ujue mziki wake.
Ndio maana toka hii OPS inanze westerners wanalalamika Russia anatumia silaha za zamani.
Can you imagined ile meli ya Russia ni ya miaka ya 1950's 😅😅😅
Takutag shughuli ikiianza bada ya hii evacuationHahahaha kwani huna habari kama Ukraine isharudisha 1000km² huko Kherson Oblast?! [emoji23][emoji23]
Yani ukubwa karibu DAR nzima maana ukubwa wa DAR yote ni 1500km².
Kwani hiyo intelligence ya Russia ilikua wapi Ukraine ilipotangaza kufanya counter offensive Kherson baadae wakaenda kuifanya Kharkiv,Russia ikaupoteza huo mji wote ambapo ilipelekea kupoteza miji muhimu kama Kupiansk na Lyman ambayo ilikua kitovu cha usafirishaji cha Russia kwenda majeshi yote kusini mwa Ukraine.
Wapi anakimbia? Yaani kuhamisha raia ili wasipatwe na madhara ya vita ni kukimbia, uelewa wako upo sawa uje uniambie wakiikomboa hio mijiHatumii Arsenal yake halafu anaikimbia miji aliyodai ameichukua na kuweka vibaraka wake,
Hivi hii ni akili kweli au Putin kichwani zimeyumba?!
Anasubiri nato gani wakati NATO wako uliñgoni na kila siku wanatuma fedha na silaha hadharani?
Hahahaha mbona povu[emoji23][emoji23][emoji23]Tulia acha kurukaruka kama bisi. Umesoma kwenye uzi kama kuna shambulizi lolote la Ukraine Kherson? Au umevamia kuanza kujibu kila mtu?
Za zamani kama zipi?!Mpya zote zinatumika mara chache na kwa kazi maalum....ila mapambano ya kila siku anatumia za zamani tu.........angesema atumie mpya na aweke mziki wote kavita kangeisha mapema na tungekosa ladha sie washabiki wake
Sawa nasubiri[emoji23][emoji23][emoji23]N
Takutag shughuli ikiianza bada ya hii evacuation
Za zamani kama zipi?!
Snake IslandWapi anakimbia? Yaani kuhamisha raia ili wasipatwe na madhara ya vita ni kukimbia, uelewa wako upo sawa uje uniambie wakiikomboa hio miji