Sasa ni zamu ya Urusi kuokoa raia wao katika mji wa Kharson, Ukrean inapania kuchukua jimbo la Kharson lilonyakuliwa na mavamizi

Sasa ni zamu ya Urusi kuokoa raia wao katika mji wa Kharson, Ukrean inapania kuchukua jimbo la Kharson lilonyakuliwa na mavamizi

Pro Russia ni kama waliokuwa wafuasi wa Kibwetere kule Uganda.Yani hata kama jambo lipo wazi kabisa utawaona wanaruka ruka na vijisababu vya uwongo na kweli ili mradi tu wakanushe kitu kilicho wazi.
Vice versa is turuu
 
Haya ni matunda ya Putin kutomaliza vita ndani ya muda mfupi😁😁😁😁
Screenshot_20221020-154813_RT News.jpg
 
Back
Top Bottom