Sasa Nigeria wanatengeneza Football Games za timu zao kwenye Pro Evolution Soccer

Sasa Nigeria wanatengeneza Football Games za timu zao kwenye Pro Evolution Soccer

Teknocrat

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
4,967
Reaction score
11,056
Tunasubiri IT wa kibongo watungengenezee za Simba na Yanga kwenye PS5 au X box
Kazi kwenu....
1659911201764.png




 
WATANZANIA WAJUZI WA MAJUNGU /UCHAWI NA NGONO SUBIRI GAME YA UBUYU NA CONNECTIONS IKO JIRANI KUTOKA
Aiseee.
Sidhani kwa Nigeria wanavyoijua hela, watakuwa kuwa na akili ya kutoa video game ya MangeKimambi wa ubuyu's na udaku's ....
 
Hawa jamaa sio wa mzaha. wanajua kuyatumia matatizo, Acha tuendelee kuwa watumiaji na noise Makers mjini
 
Back
Top Bottom