Sasa nimeamini Singida big stars wanapocheza na yanga kwenye ligi huwa wanapewa maelekezo maalum,

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
kiwango walichokionyesha singida big stars kwenye mapinduzi cup ,mpaka kuwaondosha yanga mashindanoni naamini kwenye ligi huwa wanacheza kwa maelekezo maalum!ni ujuha na ni upumbavu kukubali kufungwa ili uibebe timu ya bos wako! huo ni wehu kwa wachezaji ma profesional kucheza chini ya kiwango ili kumfulahisha bwana white!
 
SBS ina wachezaji wazuri ila siasa itawafanya wasifike popote. Kwanza sheria zetu zinaruhusu ujinga huu wa mtu kuwa ndani ya uongozi au umiliki wa timu zaidi ya moja unategemea nini?

Ila game ya jana kuna magoli ya ajabuajabu yalifungwa, kuanzia walilofunga AZAM na yale ya SBS yote ya mauzauza tu. Labda wameexchange Fei Toto na Mapinduzi Cup.
 
We mbu3 pro max hebu tuambie hao singida bbs wamecheza mara ngap na yanga?
Je timu yako ya Simba yenyewe Huwa inapewa maelekezo na nani ili ifungwe na Yanga?
 
SBS ina wachezaji wazuri ila siasa itawafanya wasifike popote. Kwanza sheria zetu zinaruhusu ujinga huu wa mtu kuwa ndani ya uongozi au umiliki wa timu zaidi ya moja unategemea nini?

Ila game ya jana kuna magoli ya ajabuajabu yalifungwa, kuanzia walilofunga AZAM na yale ya SBS yote ya mauzauza tu. Labda wameexchange Fei Toto na Mapinduzi Cup.
Nyie mbu3 sijui mnautaahira gani? Hivi nani uyo anaemiliki timu zaidi ya Moja kwenye ligi yetu?
Yaani Aden Rage alikuwa sahihi kabisa kuwaita mbu3
 
kiwango walichokionyesha singida big stars kwenye mapinduzi cup ,mpaka kuwaondosha yanga mashindanoni naamini kwenye ligi huwa wanacheza kwa maelekezo maalum!ni ujuha na ni upumbavu kukubali kufungwa ili uibebe timu ya bos wako! huo ni wehu kwa wachezaji ma profesional kucheza chini ya kiwango ili kumfulahisha bwana white!
Utakuwa taahira uliyefungua kamba hospital, Hiyo Singida ipo nafas ya ngapi kwenye ligi? Mechi zake zote amecheza na Yanga tu? Mbona watu wa Simba mnakuwa mbumbumbu kiasi hiki?
Singida Big Stars ni kama Simba tu au Azam tu, kila mmoja kapigwa na Yanga kwa namna ilivyiwezekana
 
Kwani Mwigulu hayupo kwenye bodi ya Yanga? Hayupo kwenye umiliki wa SBS? Soma vizuri nimesema ndani ya uongozi au umiliki.
Onesha ushahidi kuwa Mwigulu yupo kwenye umiliki.kwa vielelezo dhahiri
 
Kwani Mwigulu hayupo kwenye bodi ya Yanga? Hayupo kwenye umiliki wa SBS? Soma vizuri nimesema ndani ya uongozi au umiliki.
Mbona hata familia ya Bakhresa ni wanachama wa simba! Na hata mzee wao ameshawahi hata kuwa kiongozi ndani ya simba! Una maoni gani juu ya hilo?

Unataka tuamini hata akina Aishi Manula, John Boco, Erasto Nyoni, nk walipotoka kwa mkupuo kutoka Azam na kwenda simba; ulikuwa ni mkakati wa siri wa kuiongezea nguvu ile simba iliyokuwa dhoofu kwa Yanga?
 
Kuwa mpenzi au mwanachama halizuiliki ndiyo maana hata huko TFF ni vigumu sana kukuta mtu anajua na mfuatiliaji wa mpira halafu siyo mshabiki au mwanachama wa Simba au Yanga. Wanachotakiwa ni kutoweka mapenzi yao katika utendaji wao wa kazi. Mimi naongelea kuwa kwenye uongozi au umiliki wa timu. Sina kumbukumbu ya Bakhresa kuwa kiongozi wa Simba.

Na nionyeshe toka AZAM Football Club imeanzishwa kama familia ya Bakhresa imewahi kujihusisha na issue za Simba.
 
Kwani Mwigulu hayupo kwenye bodi ya Yanga? Hayupo kwenye umiliki wa SBS? Soma vizuri nimesema ndani ya uongozi au umiliki.
Mwigulu yupo kwenye board ya Yanga tokea lini? Kwenye board ya Yanga yupo kama nani? Maana hili kwangu ni jambo jipya. Naomba nifahamishe
 
Kwahiyo singida kumfunga Azam ndio kipimo Cha yeye kutokufungwa na Yanga??, Punguza upuuzi itakusaidiwa kuwaza kimpira.
 
Mwigulu yupo kwenye board ya Yanga tokea lini? Kwenye board ya Yanga yupo kama nani? Maana hili kwangu ni jambo jipya. Naomba nifahamishe
Mwigulu yupo kwenye Baraza la Wadhamini ndani ya Yanga
 
Ukiangalia kwa makini we ndio unaleta ushabiki wa kijiweni, labda kama hujielewi!
Ni mlezi wa SBS na mara nyingi amekuwa anatambulishwa hata na vyombo vya habari kama mmiliki. Wapi hapo naleta ushabiki?
 
Hakuna kipindi Makolo wanateseka kama hizi Zama za yanga ya meyeleeeeeee ...
 
Yanga mapinduzi kaleta timu c ulitegemea ashinde kwa Singida iliyokamilika?
 
Nyie mbu3 sijui mnautaahira gani? Hivi nani uyo anaemiliki timu zaidi ya Moja kwenye ligi yetu?
Yaani Aden Rage alikuwa sahihi kabisa kuwaita mbu3
Kwani Rage ni mwanazuoni?, Umbumbumbu wa mtu unapimwa kupitia mitihani sio kupitia hisia.
Siyo, sahihi kuchukua maoni ya mtu aliyeshikwa na hasira kutokana na kuzuiliwa kufanya jambo fulani na ukafanya kama SHERIA.
 
kiwango walichokionyesha singida big stars kwenye mapinduzi cup ,mpaka kuwaondosha yanga mashindanoni naamini kwenye ligi huwa wanacheza kwa maelekezo maalum!ni ujuha na ni upumbavu kukubali kufungwa ili uibebe timu ya bos wako! huo ni wehu kwa wachezaji ma profesional kucheza chini ya kiwango ili kumfulahisha bwana white!
Acha ushamba iyo singida imecheza na kikosi b cha yanga na bado ushindi wao umekuwa wa tabu vipi kama yanga ingelipania hilo kombe ikashusha kikosi cha maangamizi singida wangeponea wapi?
 
Back
Top Bottom