Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Wamemchoka kivipi?Nilikuwa najiuliza
Pamoja na;
Mabango yote nchi nzima
Fedha zote za miradi zimetoka kwa mama
Machawa kila kona ya nchi
Maendeleo yote haya mpaka tumezishinda nchi za Ulaya
Kulikuwa na haja gani ya kupeleka jina moja? Kwa nini wengine wasingeruhusiwa ili wamchangamshe kidogo kisha apige 99%?
Kumbe kuna hatari kainusa, kumbe CCM wenyewe wamemchoka na hawamtaki
Ila naona kuna kitu hakiko sawa hapaNilikuwa najiuliza
Pamoja na;
Mabango yote nchi nzima
Fedha zote za miradi zimetoka kwa mama
Machawa kila kona ya nchi
Maendeleo yote haya mpaka tumezishinda nchi za Ulaya
Kulikuwa na haja gani ya kupeleka jina moja? Kwa nini wengine wasingeruhusiwa ili wamchangamshe kidogo kisha apige 99%?
Kumbe kuna hatari kainusa, kumbe CCM wenyewe wamemchoka na hawamtaki
Nilikuwa najiuliza

Wamechoka kwa sababu zipi na hadi sasa zuria jekundu limetandikwa tiyari na wenye chama?Nilikuwa najiuliza
Pamoja na;
Mabango yote nchi nzima
Fedha zote za miradi zimetoka kwa mama
Machawa kila kona ya nchi
Maendeleo yote haya mpaka tumezishinda nchi za Ulaya
Kulikuwa na haja gani ya kupeleka jina moja? Kwa nini wengine wasingeruhusiwa ili wamchangamshe kidogo kisha apige 99%?
Kumbe kuna hatari kainusa, kumbe CCM wenyewe wamemchoka na hawamtaki
Utakua wa juzi weyeNilikuwa najiuliza
Pamoja na;
Mabango yote nchi nzima
Fedha zote za miradi zimetoka kwa mama
Machawa kila kona ya nchi
Maendeleo yote haya mpaka tumezishinda nchi za Ulaya
Kulikuwa na haja gani ya kupeleka jina moja? Kwa nini wengine wasingeruhusiwa ili wamchangamshe kidogo kisha apige 99%?
Kumbe kuna hatari kainusa, kumbe CCM wenyewe wamemchoka na hawamtaki
Hajui anachoongea huyoWamemchoka kivipi?
Maswali haya pia yaulizwe kwa wale wanaosema ccm inakubalika sanaaq
- Utafiti umeufanya lini na wapi?
- Sampuli ilizingatia wanaccm?
- Ulijuaje iwapo uliowahoji ni wanaccm?
Hapo unatulisha matango pori!
Exactly, yaani kwa nini MTU atumie hisia sehemu ya kutumia akiliMaswali haya pia yaulizwe kwa wale wanaosema ccm inakubalika sanaaq
Wapi hiyo bloangu?,🤣🤣🤣🤣Ila naona kuna kitu hakiko sawa hapaView attachment 3404038
Kuna machawa . Hawa wakiona hata choo cha shule kilichojengwa kwa msaada wana bubujikwa na machozi. Kwao ukweli utokanao na utafiti hauna mantiki yyte.Exactly, yaani kwa nini MTU atumie hisia sehemu ya kutumia akili
* Utafiti ni taaluma
Unapoleta usomi mbuzi kwenye mambo ya maana.
- Utafiti umeufanya lini na wapi?
- Sampuli ilizingatia wanaccm?
- Ulijuaje iwapo uliowahoji ni wanaccm?
Hapo unatulisha matango pori!
Wasukuma huwa wagumu sana kuelewa mambo.Wamemchoka kivipi?
Inaelezwa kwamba asingepenya 5 boraNilikuwa najiuliza