Sasa nimeelewa kwa nini lilipelekwa Jina Moja la Samia

Sasa nimeelewa kwa nini lilipelekwa Jina Moja la Samia

Form 4 failure Hana uwezo wa ku debate na kutoa HOJA kwa kujiamini ndio maana anaogopa upinzani ndani ya chama chake na nje ya chama chake. Ndio maana Lissu pamoja na kunusa hukumu ya kunyongwa gerezani ila ana amani na furaha kuliko huyo form 4 failure mwenye pesa na ulinzi wa Kila aina.
Kamanda nipe location bas nije tufanye mdahalo wa wazi.
Leo itakua vizuri zaid.
 
Uchaguzi awamu ya pili kwa BWM,AHM ,JMK NA JPM ni akina nani walichukua fomu?
Nilikuwa najiuliza

Pamoja na;
Mabango yote nchi nzima
Fedha zote za miradi zimetoka kwa mama
Machawa kila kona ya nchi
Maendeleo yote haya mpaka tumezishinda nchi za Ulaya

Kulikuwa na haja gani ya kupeleka jina moja? Kwa nini wengine wasingeruhusiwa ili wamchangamshe kidogo kisha apige 99%?

Kumbe kuna hatari kainusa, kumbe CCM wenyewe wamemchoka na hawamtaki
 
Unapoleta usomi mbuzi kwenye mambo ya maana.

Ni wapi mtoa mada kakwambia kafanya utafiti?
"unapoleta usomi kwenye mambo ya maana"
UNAONA UKO SAHIHI? unataka alete usenge kama mlivyozoea huko kinondoni?
 
Nilikuwa najiuliza

Pamoja na;
Mabango yote nchi nzima
Fedha zote za miradi zimetoka kwa mama
Machawa kila kona ya nchi
Maendeleo yote haya mpaka tumezishinda nchi za Ulaya

Kulikuwa na haja gani ya kupeleka jina moja? Kwa nini wengine wasingeruhusiwa ili wamchangamshe kidogo kisha apige 99%?

Kumbe kuna hatari kainusa, kumbe CCM wenyewe wamemchoka na hawamtaki
Hapa mtaani na mjini nimefuliliza naona tarumbeta na bodaboda Wana cheza.kama vile wanakusanya watu lakini kila mtu Yuko bize na na mambo yake yaani wanasiasa wapo mjini Wana kundi dogo sana la watu sokoni watu wako bize sana
 
Screenshot_20250713_120438_WhatsApp.jpg
 
Shushia na pespi baridi kwakusapoti kwamba MITANO TENAAAAAAAAAAAAAAAAA BILA HIYANA, WALA SHINIKIZO NI KWA UZALENDO USIOKUWA NA CHEMBECHEMBE ZA UGHAIBUNI NASEMA TENA KUTOKA MOYONI BILA HOFU YOYOTE NIKIWA NAPATA SUPU YA BATA MZINGA MITANO TENAAAAAAAAAAAAAAAAA HATA KAMA HUPENDI HUO NDIO UKWELI 😂
 
Back
Top Bottom