ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,713
- 2,674
Kamanda nipe location bas nije tufanye mdahalo wa wazi.Form 4 failure Hana uwezo wa ku debate na kutoa HOJA kwa kujiamini ndio maana anaogopa upinzani ndani ya chama chake na nje ya chama chake. Ndio maana Lissu pamoja na kunusa hukumu ya kunyongwa gerezani ila ana amani na furaha kuliko huyo form 4 failure mwenye pesa na ulinzi wa Kila aina.
Nilikuwa najiuliza
Pamoja na;
Mabango yote nchi nzima
Fedha zote za miradi zimetoka kwa mama
Machawa kila kona ya nchi
Maendeleo yote haya mpaka tumezishinda nchi za Ulaya
Kulikuwa na haja gani ya kupeleka jina moja? Kwa nini wengine wasingeruhusiwa ili wamchangamshe kidogo kisha apige 99%?
Kumbe kuna hatari kainusa, kumbe CCM wenyewe wamemchoka na hawamtaki
"unapoleta usomi kwenye mambo ya maana"Unapoleta usomi mbuzi kwenye mambo ya maana.
Ni wapi mtoa mada kakwambia kafanya utafiti?
Hapa mtaani na mjini nimefuliliza naona tarumbeta na bodaboda Wana cheza.kama vile wanakusanya watu lakini kila mtu Yuko bize na na mambo yake yaani wanasiasa wapo mjini Wana kundi dogo sana la watu sokoni watu wako bize sanaNilikuwa najiuliza
Pamoja na;
Mabango yote nchi nzima
Fedha zote za miradi zimetoka kwa mama
Machawa kila kona ya nchi
Maendeleo yote haya mpaka tumezishinda nchi za Ulaya
Kulikuwa na haja gani ya kupeleka jina moja? Kwa nini wengine wasingeruhusiwa ili wamchangamshe kidogo kisha apige 99%?
Kumbe kuna hatari kainusa, kumbe CCM wenyewe wamemchoka na hawamtaki
Mkuu unavyoona ndio uhalisia haya magari yalikuwa yakipita njiania unaona watoto na watu wazima wanayakinblia lakini sahivi hamna kitu nimeshudia kwa macho yangu mosafara miwiliIla naona kuna kitu hakiko sawa hapaView attachment 3404038