polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
Ile huduma imetolewa huenda sababu ikawa makato na tozo za wizi kwenye account zetu yaani ukichukua bank statement ndio utajua serikali hii imeamua kuchukua pesa za wananchi kwenye account zao isivyo halali
Ili kuficha hilo waibe kiwepesi wameamua kuondoa huduma ile haipo sasa, hivyo kwa sasa pesa ikiingia hupati sms na wala ikitoka pia hupati sms yani kwa sasa hakuna huduma hiyo huu ni wizi wa wazi kabisa alio kuja nao mwigulu nchemba