Fafanua ndugu,Ile huduma imetolewa huenda sababu ikawa makato na tozo za wizi kwenye account zetu yaani ukichukua bank statement ndio utajua serikali hii imeamua kuchukua pesa za wananchi kwenye account zao isivyo halali...
sio mwigulu tu jopo lote la wabunge wa ccm ndo waliotufikisha huko hivyo 2025 tuseme tu imetosha kwa wabunge hao.wale walizotutoza.tupige kura ya kuwaondoa majimboni wabaki kijiweni nao waone ugumu wa maisha.akina zungu walishabikia sana tozo pale bungeni mpaka wengine tukamshangaa kweli huyu ni mbunge wa wananchi?anawawakilisha wananchi kweli?nitashangaa sana wana ilala kama watamrudisha huyu mtu.Ile huduma imetolewa huenda sababu ikawa makato na tozo za wizi kwenye account zetu yaani ukichukua bank statement ndio utajua serikali hii imeamua kuchukua pesa za wananchi kwenye account zao isivyo halali
Ili kuficha hilo waibe kiwepesi wameamua kuondoa huduma ile haipo sasa, hivyo kwa sasa pesa ikiingia hupati sms na wala ikitoka pia hupati sms yani kwa sasa hakuna huduma hiyo huu ni wizi wa wazi kabisa alio kuja nao mwigulu nchemba