Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwani bwawa ni Nini??point ni bwawa lipo wapi sio mawanda.
ulivyoambiwa litakua kubwa kuzidi ziwa Rukwa na wewe ukaamini?Kwani bwawa ni Nini??
Wataalam waliposema litakuwa kubwa kuliko ziwa Rukwa walikuwa wanamaanisha pale kwenye milango ama mawanda yake!!!??
Khe!!ulivyoambiwa litakua kubwa kuzidi ziwa Rukwa na wewe ukaamini?
Hili jambo lilijibiwa vizuri hapa, Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria?Mlango wa bwawa upo kati ya Mkoa wa Pwani na Morogoro, Lakini mawanda ya bwawa Kwa asilimia kubwa yatakuwa kwenye Jimbo la Liwale.
Kwani serikali ikisema hivyo watapungukiwa nini?
Kuwa...Hili jambo lilijibiwa vizuri hapa
P
Na mtu mwingine atasema mto Nile uko Tanzania, mwingine atasema mto Nile uko Uganda na mwingine atasema mto Nile uko Burundi na Wamisri wanajua mto ule ni wao.Mlango wa bwawa upo kati ya Mkoa wa Pwani na Morogoro, Lakini mawanda ya bwawa Kwa asilimia kubwa yatakuwa kwenye Jimbo la Liwale.
Kwani serikali ikisema hivyo watapungukiwa nini?
Mawanda ππππPoint ni bwawa lipo wapi sio mawanda.
π π πMawanda ππππ
kwanini wanayafungulia?,kwanini wasiyaaache yazidi ziwa Rukwa?Khe!!
Kwanza ni jambo la kisayansi tu.
Kwani maji ukiyazuia huwa kinatokea Nini??
Yale maji toka pale langoni yatarudi nyuma mpaka kilomita 100. Sasa Kwa Nini lisizidi ukubwa Wa ziwa Rukwa?
haya maneno ni pwani na kusini.huyu ntu atakua ntu wa kusini huyu,,π€£πMawanda ππππ
Angalia Tena ulichoandika.Na mtu mwingine atasema mto Nile uko Tanzania, mwingine atasema mto Nile uko Uganda na mwingine atasema mto Nile uko Burundi na Wamisri wanajua mto ule ni wao.
Kwani mradi wenyewe ushakamika basi... Watu wanakbizana na Uchaguzi Wa mwakani... Waseme waliahidi wametimiza.kwanini wanayafungulia?,kwanini wasiyaaache yazidi ziwa Rukwa?
hivi unaamini wanasiasa na mbwembwe zao,eti mkuu.utaachwa na basi ukose pakulala hapa tz mkuu.shtuka!
wanasiasa wahuni watakulaza na viatu,maji ya kuzidi ziwa rukwa hayakai pale yatabomoa kingo za maji shughuli iishie hapo.Kwani mradi wenyewe ushakamika basi... Watu wanakbizana na Uchaguzi Wa mwakani... Waseme waliahidi wametimiza.
Umepitaje Burundi na Rwanda? kisa kuna mito kule inamwaga maji yake ziwa Victoria? weka utafiti wa kisayansi hapaAngalia Tena ulichoandika.
Mto Nile umepita pia Burundi, Rwanda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kenya, Sudan na Sudani ya Kusini, Tanzania, Uganda, na Ethiopia.
Mtera hata sasa maji yamefunguliwa, Bwawa limejaa.kwanini wanayafungulia?,kwanini wasiyaaache yazidi ziwa Rukwa?
hivi unaamini wanasiasa na mbwembwe zao,eti mkuu.utaachwa na basi ukose pakulala hapa tz mkuu.shtuka!