Sasa nimeelewa ni kwanini mbunge wa Liwale alisema Bwawa la umeme Nyerere liko Liwale

Sasa nimeelewa ni kwanini mbunge wa Liwale alisema Bwawa la umeme Nyerere liko Liwale

Angalia Tena ulichoandika.

Mto Nile umepita pia Burundi, Rwanda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kenya, Sudan na Sudani ya Kusini, Tanzania, Uganda, na Ethiopia.
Mto Nile unaanzia Jinja huko Burundi , unnendaje!
 
Umepitaje Burundi na Rwanda? kisa kuna mito kule inamwaga maji yake ziwa Victoria? weka utafiti wa kisayansi hapa
Mto Nile unapita katikati ya ziwa Viktoria na siyo kwamba umwaga maji ndani ya ziwa Victoria.
 
Angalia Tena ulichoandika.

Mto Nile umepita pia Burundi, Rwanda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kenya, Sudan na Sudani ya Kusini, Tanzania, Uganda, na Ethiopia.
Niangalie nini mkuu. Mbona nilichoandika kiko straight!!!.
 
Na mtu mwingine atasema mto Nile uko Tanzania, mwingine atasema mto Nile uko Uganda na mwingine atasema mto Nile uko Burundi na Wamisri wanajua mto ule ni wao.
Unapoteza mada ,Tujadili Bwawa la Mwalimu Nyerere na faida zinazo weza kupatikana zaidi ya umeme
 
Mlango wa bwawa upo kati ya Mkoa wa Pwani na Morogoro, Lakini mawanda ya bwawa Kwa asilimia kubwa yatakuwa kwenye Jimbo la Liwale.

Kwani serikali ikisema hivyo watapungukiwa nini?

Haya yana saidia maendeleo ya wananchi? Mi nafikiri milango yake ipo mwananyamala!!!
 
Mlango wa bwawa upo kati ya Mkoa wa Pwani na Morogoro, Lakini mawanda ya bwawa Kwa asilimia kubwa yatakuwa kwenye Jimbo la Liwale.

Kwani serikali ikisema hivyo watapungukiwa nini?
Kwa ukubwa huo, lisiitwe tena BWAWA, liitwe Ziwa la JNHP!!
 
Back
Top Bottom