Sasa nimpe nani anayejua thamani

Sasa nimpe nani anayejua thamani

Kupata majaliwa nakupasha kabisa.....

Huyo ulomchukua mbona anakunyanyasa,

Mola kanivua dhara kanivua....

Mwengine kaniletea kaniletea,

Mie mja wa stara wa staraah....

Ama hajanielewa, elewa


Nimempata mbora mwenye khadhi na muuuruuua ....


sasa nazidi kung'aa doonge litakuingia!
Mbona hatari 😅
 
Isha mashauzi kuna vibao fulani huwa katulia sana na ile sauti yake... Ule mtindi pale kifuani kwake unafaa kwa matumizi ya kibinadamu

Mpe yeyote tu ambae we unamuelewa.
Yuko vizuri sana
 
Tuleni tu kila mtu atapewa tu ,kuweni wavumilivu vijana.
View attachment 3236739
Kwa hio nirudi kwenye foleni siyo?
92fd447ba02990ff5ace307afdfa3795.jpg
 
Back
Top Bottom