SubiriJibu
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 1,805
- 1,876
- Thread starter
- #21
Kwani lilibomoka lini na aliyelibomoa ni nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani lilibomoka lini na aliyelibomoa ni nani?
True 100%. Unaposimama na mtu fulani inapaswa mtu huyo asiwe na mawaa mbele ya jamii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupokezana hiyo ni adithi tuu, wala haina ukweli wowote, hata uki-google leo kila kitu kiko wazi, Unachotakiwa kujua binadamu baada ya kujua kusoma na kuandika alitunga uongo mwingi sana kuhusu mambo ya dini.Halifa wa mtume Petro ambaye alisimikwa kuwa kiongozi wa Kanisa na baada ya hapo upo ushahidi wa viongozi kupokezana toka Petro alivyofariki hadi leo huyu! Shortly Yesu aliacha duniani visible church yaani kanisa lenye uongozi rasmi chini ya Petro akiongoza mitume wenzake 11.
Petro ni jina alilopewa na Yesu mwenyewe likiwa na maana ya mwamba/jiwe na ndio maana Yesu baadae anasema "wewe ndio Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa langu".
Tutaelewana tu ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini Petro hakuwa mwamba. Mwamba ni Yesu Kristo mwenyewe. Nadhani shida ipo kwenye tafsiri na punctuation.1 Wakorinto:10.4Halifa wa mtume Petro ambaye alisimikwa kuwa kiongozi wa Kanisa na baada ya hapo upo ushahidi wa viongozi kupokezana toka Petro alivyofariki hadi leo huyu! Shortly Yesu aliacha duniani visible church yaani kanisa lenye uongozi rasmi chini ya Petro akiongoza mitume wenzake 11.
Petro ni jina alilopewa na Yesu mwenyewe likiwa na maana ya mwamba/jiwe na ndio maana Yesu baadae anasema "wewe ndio Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa langu".
Tutaelewana tu ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Kweli kuna vilaza duniani haijawahi tokeaViongozi wa dini wenye akili hawawezi kuja kwenye unafiki na uzwazwa wa viongozi ambao wamevaa vazi la kondoo lakini mioyo yao ni chui
Iyo mizinga wata mpigia ambao hawajielewiBaba yako atampigia wimbo wa taifa na mizinga.
mwandishi hajui geografiaHizo nchi hazipo africa mashariki zipo kusini mwa africa.
Alishakuwepo. Alitoka Tunisia.
Akija mnamkimbilia dini zote kutaka aongee na nyie, na dini moja ikisahaulika kwa bahati mbaya inalalamika.so akija ndo mvua itanyesha?
Kupokezana hiyo ni adithi tuu, wala haina ukweli wowote, hata uki-google leo kila kitu kiko wazi, Unachotakiwa kujua binadamu baada ya kujua kusoma na kuandika alitunga uongo mwingi sana kuhusu mambo ya dini.
Wacha niunganishe huu uzi na ule uzi wa Utumwa katika picha, ni utumwa tuLeo Vatican imetangaza rasmi kwamba Papa Francis atembelea nchi tatu za Afrika Mashariki.
Ziara hiyo itafanyika Septemba mwaka huu na nchi atakazotembelea ni Mozambique, Madagascar na Mauritius.
Hii ni mara ya pili Papa Francis kutembelea eneo la Afrika Mashariki. Majuzi tu alitembelea Uganda na Kenya. Kumbe Papa Francis analipenda hili eneo la Afrika Mashariki.
Hii maana yake mapapa wanalipenda hili eneo. Mara ya kwanza Papa Paul VI alitembelea Uganda na akazindua Namugongo sehemu ambayo maraisi wa nchi hizo kukimbizana kupata umaarufu wa kupatembelea pale.
Mara nyingine Papa John Paul akatembelea Kenya. Tanzania ikatembelewa na Papa John Paul mwaka 1990 tu, tena wakati huo kArdinali Rugambwa anajiandaa kuondoka madarakani na ingeonekana Kardinali wa kwanza mwafrika anodoka madarakani bila Papa kukanyaga nchini mwake.
Hivyo, Uganda na Kenya zimetembelewa na Papa mara mbili. Tanzania ndiyo hiyo mara moja tu.
TAARIFA na JADILI:
SOURCE: Vatican:
Pope Visist to East Africa