Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiulize wakati wa yesu kulikuwepo na camera? je ni nani aliweza kukumbuka mtu aliyefariki miaka mia 3 au 5 iliyopita, leo wewe au mtu mwingine nikwambia ufuatilie uzao wenu miaka mia 5 iliyopita sijui kama utawapata, hivyo ilikuwa ni kupamba vitabu vya watunzi na walikuwa wana kadria tuu.lkn haina ukweli wowote, hata hii miaka tunayohesabu ni makadrio tuu, kwan mwaka 01 kuna mtu alikuwa anajua kusoma na kuandika ? binadamu alipogundua kusoma na kuandika na vifaa vya kisayansi kugundulika ndipo makadrio yalipoanza.Madrio yalianza baada ya kukusanya ushahidi mbalimbali na mwisho wakakubaliana waanzie maala flani.Basi huo ndiyo ukubwa wenyewe. Kama mtu alitunga uongo na akaandika basi walijua ukweli hawakuuandika walikuwa wajina na wanapaswa kutawaliwa hadi mwisho wa dahari.
Jiulize wakati wa yesu kulikuwepo na camera? je ni nani aliweza kukumbuka mtu aliyefariki miaka mia 3 au 5 iliyopita, leo wewe au mtu mwingine nikwambia ufuatilie uzao wenu miaka mia 5 iliyopita sijui kama utawapata, hivyo ilikuwa ni kupamba vitabu vya watunzi na walikuwa wana kadria tuu.lkn haina ukweli wowote, hata hii miaka tunayohesabu ni makadrio tuu, kwan mwaka 01 kuna mtu alikuwa anajua kusoma na kuandika ? binadamu alipogundua kusoma na kuandika na vifaa vya kisayansi kugundulika ndipo makadrio yalipoanza.Madrio yalianza baada ya kukusanya ushahidi mbalimbali na mwisho wakakubaliana waanzie maala flani.
Unajua ni lini na wapi binadamu walianza kusoma fuatilia historiaJiulize wakati wa yesu kulikuwepo na camera? je ni nani aliweza kukumbuka mtu aliyefariki miaka mia 3 au 5 iliyopita, leo wewe au mtu mwingine nikwambia ufuatilie uzao wenu miaka mia 5 iliyopita sijui kama utawapata, hivyo ilikuwa ni kupamba vitabu vya watunzi na walikuwa wana kadria tuu.lkn haina ukweli wowote, hata hii miaka tunayohesabu ni makadrio tuu, kwan mwaka 01 kuna mtu alikuwa anajua kusoma na kuandika ? binadamu alipogundua kusoma na kuandika na vifaa vya kisayansi kugundulika ndipo makadrio yalipoanza.Madrio yalianza baada ya kukusanya ushahidi mbalimbali na mwisho wakakubaliana waanzie maala flani.
Naona umeandika huu uzi huku umekalia steki ndefu yenye uterezi.Leo Vatican imetangaza rasmi kwamba Papa Francis atembelea nchi tatu za Afrika Mashariki.
Ziara hiyo itafanyika Septemba mwaka huu na nchi atakazotembelea ni Mozambique, Madagascar na Mauritius.
Hii ni mara ya pili Papa Francis kutembelea eneo la Afrika Mashariki. Majuzi tu alitembelea Uganda na Kenya. Kumbe Papa Francis analipenda hili eneo la Afrika Mashariki.
Hii maana yake mapapa wanalipenda hili eneo. Mara ya kwanza Papa Paul VI alitembelea Uganda na akazindua Namugongo sehemu ambayo maraisi wa nchi hizo kukimbizana kupata umaarufu wa kupatembelea pale.
Mara nyingine Papa John Paul akatembelea Kenya. Tanzania ikatembelewa na Papa John Paul mwaka 1990 tu, tena wakati huo kArdinali Rugambwa anajiandaa kuondoka madarakani na ingeonekana Kardinali wa kwanza mwafrika anodoka madarakani bila Papa kukanyaga nchini mwake.
Hivyo, Uganda na Kenya zimetembelewa na Papa mara mbili. Tanzania ndiyo hiyo mara moja tu.
TAARIFA na JADILI:
SOURCE: Vatican:
Pope Visist to East Africa
Kumbe unajua utamu wa utelezi unadhani kila mmoja akiandika kama wewe ameukalia.Naona umeandika huu uzi huku umekalia steki ndefu yenye uterezi.
Sijaandika suala la utamu, UMEJUAJE utamu wa uterezi? Kwani umenielewake?Kumbe unajua utamu wa utelezi unadhani kila mmoja akiandika kama wewe ameukalia.
Wakatoliki ndio wana uwepo wa papa ila wengine hakunaHalifa wa mtume Petro ambaye alisimikwa kuwa kiongozi wa Kanisa na baada ya hapo upo ushahidi wa viongozi kupokezana toka Petro alivyofariki hadi leo huyu! Shortly Yesu aliacha duniani visible church yaani kanisa lenye uongozi rasmi chini ya Petro akiongoza mitume wenzake 11.
Petro ni jina alilopewa na Yesu mwenyewe likiwa na maana ya mwamba/jiwe na ndio maana Yesu baadae anasema "wewe ndio Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa langu".
Tutaelewana tu ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajalaumiwa ila sema Magu ana gunduNayo hii ni ni habari ya kumlaumu Magufuli kwamba kasababisha papa aje mara moja tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mnaendaga kusomea ujinga shule msumbiji ni Africa mashariki, pumbavu zenu
Sent using Jamii Forums mobile app