Sasa Papa Francis kutembelea tena Afrika Mashariki lakini si Tanzania

True 100%. Unaposimama na mtu fulani inapaswa mtu huyo asiwe na mawaa mbele ya jamii


Sent using Jamii Forums mobile app

This is a lame argument! A spiritual leader is morally obligated to confront injustice, immorality, etc.

Equally importantly, the Catholic Church has long lost its moral authority to call anyone out on immortality. It’s too unclean to judge others! You probably aren’t in the know.
 
Kupokezana hiyo ni adithi tuu, wala haina ukweli wowote, hata uki-google leo kila kitu kiko wazi, Unachotakiwa kujua binadamu baada ya kujua kusoma na kuandika alitunga uongo mwingi sana kuhusu mambo ya dini.
 
Lakini Petro hakuwa mwamba. Mwamba ni Yesu Kristo mwenyewe. Nadhani shida ipo kwenye tafsiri na punctuation.1 Wakorinto:10.4
wote wakanywa kinywaji kile kile cha roho; kwa maana waliunywea mwamba wa roho uliowafuata; na mwamba ule ulikuwa ni Kristo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
who is huyo papa by the way?

Tumwache ashughulike na ushoga wa mapadre wake kwanza

Akija au asipokuja hapunguzi chechote.
 
Wanafiki waliojaa unafiki huku wakija Afrika kwa njia mifuniko ya kidini, na wakitaka waabudiwe as if wao ni Mungu mkuu, hawafai hata kujadiliwa kwa wema.
 
Ni Bora kabisa asije huku. Unajua Angekuja huku angeandamana na makadinali na mapadre kibao. Sote twajua tabia ya mapadre wake. Wakiona vijana wa kiume wa miaka Saba hadi 15 zipu hazitulii.
Hatutaki vijana wetu wageuzwe asusa. Ushahidi tunao yule number 3 katika hierarchy ya kanisa katoliki yuko gerezani. Jiulize namba 33 hadi 444 si ingekua balaa? Wajifunze kufunga zipu zao kabla hawajatia miguu hapa
 
Tunamshukuru Rais na Makonda kwa kuiwezesha TZ kufuzu afcon19
 
huyu papa atakuwa mlokole,.
ametuumbua sana wakatoliki.
amekataza kuabudu pete yake.
amekataza kumwabudu maria.
ameruhusu kunena kwa lugha baada ya mtu kujazwa roho mtakatifu.
amekataza kutoa mimba, maana wakatoliki walikuwa wanaongoza, japo nintafiti zisizo rasmi.

ameibua ufrauni wa mapadri, mapadri wa australia, uingereza, marekani na huko brazili walikuwa wanafira9lawiti0 vitoto vya kiume, wengine wame

https://www.usnews.com/news/best-states/new-mexico/articles/2019-02-08/new-mexico-catholic-

https://www.usnews.com/news/best-states/new-mexico/articles/2019-02-08/new-mexico-catholic-
A 76-year-old former Catholic priest who already has served jail time for molesting boys in Maryland was sentenced Tuesday to 20 years in prison in South Carolina for raping boys from a middle school four decades ago.


kadinali huko australia kakutwa na hatia
George Pell: cardinal found guilty of child sexual assault | Australia ...
https://www.theguardian.com/austral...surer-found-guilty-of-child-sexual-assaultFeb 25, 2019 ... ... senior Catholic in the world, convicted on five charges in Australian ... read: “ Only a madman would attempt torape two boys in the priests' ...



huyu papa katumwa na Mungu, kila kitu anakemea, kanisa linapat uamsho, kwa sasa bado hajapiga marufuku pombe, maana kwetu pombe rukhsa na pia uzinzi, huwa hakuna mkatoliki anaoa bila kutia mimba kwanza.
 
Kupokezana hiyo ni adithi tuu, wala haina ukweli wowote, hata uki-google leo kila kitu kiko wazi, Unachotakiwa kujua binadamu baada ya kujua kusoma na kuandika alitunga uongo mwingi sana kuhusu mambo ya dini.

Basi huo ndiyo ukubwa wenyewe. Kama mtu alitunga uongo na akaandika basi walijua ukweli hawakuuandika walikuwa wajina na wanapaswa kutawaliwa hadi mwisho wa dahari.
 
Wacha niunganishe huu uzi na ule uzi wa Utumwa katika picha, ni utumwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…