Sasa Papa Francis kutembelea tena Afrika Mashariki lakini si Tanzania

Viongozi wa dini wakubwa kama Papa inakuwa ngumu kuja nchini mwetu, inabidi tujichunguze ni wapi tunakosea. Namtakia kila la kheri katika ziara zake.

T[emoji769]
 
Basi huo ndiyo ukubwa wenyewe. Kama mtu alitunga uongo na akaandika basi walijua ukweli hawakuuandika walikuwa wajina na wanapaswa kutawaliwa hadi mwisho wa dahari.
Jiulize wakati wa yesu kulikuwepo na camera? je ni nani aliweza kukumbuka mtu aliyefariki miaka mia 3 au 5 iliyopita, leo wewe au mtu mwingine nikwambia ufuatilie uzao wenu miaka mia 5 iliyopita sijui kama utawapata, hivyo ilikuwa ni kupamba vitabu vya watunzi na walikuwa wana kadria tuu.lkn haina ukweli wowote, hata hii miaka tunayohesabu ni makadrio tuu, kwan mwaka 01 kuna mtu alikuwa anajua kusoma na kuandika ? binadamu alipogundua kusoma na kuandika na vifaa vya kisayansi kugundulika ndipo makadrio yalipoanza.Madrio yalianza baada ya kukusanya ushahidi mbalimbali na mwisho wakakubaliana waanzie maala flani.
 
Kama umefatilia vizuri papa huyu anatemebelea nchi zenye shida shida haza zisizo na amani
 

JF ni mtandao mzuri. Taabu yake ndiyo hii yaani unaweza kujikuta unajibizana na mtoto wako ambaye umemfukuza akalale kumbe anaingia JF na huko anajibu kama hivi, bila kujua anamjibu baba na baba bila kujua anajibiwa na mtoto.
 
akija atajenga uwanja wapi kama noo basi asije, tunataka vitendo sio maneno ndio maana ya kazi
 
Unajua ni lini na wapi binadamu walianza kusoma fuatilia historia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona umeandika huu uzi huku umekalia steki ndefu yenye uterezi.
 
Wakatoliki ndio wana uwepo wa papa ila wengine hakuna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…