Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raila ni arrogant sana...na hii inamfanya awe kiburi sana ..kenyatta anambembeleza sana huyu ni wa kupokwa magari akiwa barabarani ili atembee kwa mguu
mara nyingi huwa nasema serikali ya jubilii ni ya wakikuyu walafi na few kalenjins...sasa ni aibu isiyozuilika kwamba uhuru hawezi tembelea sehemu ya nchi anayotawala...huyo msemaji wa serikali hovyo sana magari anayomiliki raila yanausiana nini na kuzomewa kisii...poleni sana wakenya kwa kweli huyo rais wenu nazani hana amani kabisa..ikulu imekuwa chungu kwake.
raila ni mwanasiasa mwamba wa Africa serikali ya jubilii haiwezi kumzuia kufanya kitu.watabaki wana blame tu..mwisho wa siku wanatumia muda mwingi ku dwell on raila badala ya kufanyia kazi manifesto zao.
leo hata wakalenjin wameanza kupanga mikakati ya kuwachukia wakikuyu,south rift wanajipanga..
Magari ambayo serkali imeona kwa Raila pekee?!vipi magari ya rais mstahafu nayo yatarudishwa?hii ni vita ya visasi,kenya mnajikaanga kwa mafuta yenu wenyewe,lakini ukweli ndio utawaweka huru na kuishi kwa amani,dhuluma,uonevu autaijenga kenya kamwe,mtaishia kuwa kama Rwanda,ndipo mtatia akili.