Sasa Raila aandamwa arudishe magari!

Sasa Raila aandamwa arudishe magari!

Raila ni arrogant sana...na hii inamfanya awe kiburi sana ..kenyatta anambembeleza sana huyu ni wa kupokwa magari akiwa barabarani ili atembee kwa mguu
 
Raila odinga is still so strong lovable man serious measure must be taken first, b4 it spark!
 
Raila ni arrogant sana...na hii inamfanya awe kiburi sana ..kenyatta anambembeleza sana huyu ni wa kupokwa magari akiwa barabarani ili atembee kwa mguu

Magari ambayo serkali imeona kwa Raila pekee?!vipi magari ya rais mstahafu nayo yatarudishwa?hii ni vita ya visasi,kenya mnajikaanga kwa mafuta yenu wenyewe,lakini ukweli ndio utawaweka huru na kuishi kwa amani,dhuluma,uonevu autaijenga kenya kamwe,mtaishia kuwa kama Rwanda,ndipo mtatia akili.
 
Jaman mi mtanzania,vp wanafunzi wameshapewa lap top ? Nataman kuja kusoma huko
 
mara nyingi huwa nasema serikali ya jubilii ni ya wakikuyu walafi na few kalenjins...sasa ni aibu isiyozuilika kwamba uhuru hawezi tembelea sehemu ya nchi anayotawala...huyo msemaji wa serikali hovyo sana magari anayomiliki raila yanausiana nini na kuzomewa kisii...poleni sana wakenya kwa kweli huyo rais wenu nazani hana amani kabisa..ikulu imekuwa chungu kwake.
raila ni mwanasiasa mwamba wa Africa serikali ya jubilii haiwezi kumzuia kufanya kitu.watabaki wana blame tu..mwisho wa siku wanatumia muda mwingi ku dwell on raila badala ya kufanyia kazi manifesto zao.
leo hata wakalenjin wameanza kupanga mikakati ya kuwachukia wakikuyu,south rift wanajipanga..

I thought Uhuru's first trip was to Nyanza. Raila's home town, no?
 
Magari ambayo serkali imeona kwa Raila pekee?!vipi magari ya rais mstahafu nayo yatarudishwa?hii ni vita ya visasi,kenya mnajikaanga kwa mafuta yenu wenyewe,lakini ukweli ndio utawaweka huru na kuishi kwa amani,dhuluma,uonevu autaijenga kenya kamwe,mtaishia kuwa kama Rwanda,ndipo mtatia akili.

Raisi mstaafu, Raila amestaafu? kila mtu akishindwa uchaguzi inafaa serikali impe magari?

Are all former MP's enjoying state benefits? Peter Kenneth, Martha Karua, Musalia Mudavadi etc are the enjoying state benefits?
Mudavadi was also the deputy PM, does he have government vehicles?
 
Raila ni mtu wa ajabu sana, nashindwa kupata uelewa wake, nadhani anamatatizo na anahitaji daktari za saikolojia kumsaidia, anastahili kuheshimu matokeo na kumove on, ajipange na next elections that is if he will contest, tabia zake zinanifanya kuamini kua we Never grow up, we only learn to act in public..kama toto dogo vile,
 
Back
Top Bottom