MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Kula sufuriaLeo nimenunua sufuria moja dogo kwa shilingi 2000 na bei ya unga mtaani kwangu kwa kilo ni sh 2200.
Kwa lugha nyepesi ni rahisi kula masufuria na mboga kuliko kula ugali na mboga.
Yapi maoni yenu wakuu.
Umeambiwa unga bei yake Ni kubwa kuliko sufuriaDoooh
Watu watapikia vifuu [emoji3][emoji3][emoji3]
Unatumia Cocaine Kwan?
Fafanua mkuuUnaibiwa simu ya 200k unaenda kwa mganga/polisi unaambiwa utoe 400k
Limeni muuze Bei rahisiNimesoma kitabu cha Andy chande inaonekana serikali kama ya mkapa... mwinyi... even mwalimu... walikuwa na Agenda ya kudhibiti thamani ya fedha yetu. Inaonekana wazi mambo yakiwa mrama hivi kwasababu za ndani au za nje , walikaa wachumi wabobezi na kuwaza kuokoa jaazi. Miaka hii watu wanapanda ndege...... yule member wetu humu anaandaa ushairi wa kudumisha uteuzi. Ajisemee shaban roberth 1958... "nchi ya bado kidogo"
Kwa nn usilime wewe, uuze , uwe bilionea?Limeni muuze Bei rahisi
wasivyo na haya pia yaweza panda bei na yenyewe!!πππππ imebaki chumvi tu ndio huwa haipandi bei