TAARIFA ZINAZOSAMBAA SIO ZA KWELI-TFF.
TAARIFA ZINAZOSAMBAA SIO ZA KWELI-TFF.
hahaha sijui na kule CAF tumenunua nafasi tukawapatia yanga
Uonevu tu huo, na hiyo dhambi itawatafuna sana
Tumia akili kidogo. Yanga inao mchango wake katika hizo point 12.Kigezo gani kimetumika kumpa KMC hiyo nafasi Wakati hajacheza fainali yoyote?
Wewe frog wa jangwani Arabi Nanjewa bila Simba mngepata hii nafasi?
Respect Simba kuanzia leo Sithole
Na wewe ni shabiki wa Viti maalumu fc?Tumia akili kidogo. Yanga inao mchango wake katika hizo point 12.
Sio favour, ni stahilI yake .
Kwa mujibu wa kanuni KMC ameshika nafasi ya nne(4) kwenye ligi yetu yaani TPLKigezo gani kimetumika kumpa KMC hiyo nafasi Wakati hajacheza fainali yoyote?
Wewe frog wa jangwani Arabi Nanjewa bila Simba mngepata hii nafasi?
Respect Simba kuanzia leo Sithole
Viti maalumu fc
Huko si ndo Camera zinaharibika kila Esperance inapocheza!?Haongera Sana Yanga kwa kuingia kupitia Viti Maalumu
mtengeneze timu ya ushindani kweli kule sijui mtasingizia Nini kina Kambuzi hawapo
Hujui hata ni point ngapi unaleta tu ubishi hapa...tanzania ina point 18 ambapo kati ya hizo point 18 point 15 zimeletwa na simba na point 3 zililetwa na yanga....nchi inayotufuatia ni ivory cost yenye point 15....hii inamaanisha point 15 tu za simba iliyozileta pekeyake zilitosha kabisa kuifanya tanzania iwe na sifa ya kuingiza timu nneTumia akili kidogo. Yanga inao mchango wake katika hizo point 12.
Sio favour, ni stahilI yake .
Mkuu usilete ubishi kwenye vitu usivyovijua....point 12 ndo nini???....Tanzania imeshika nafasi ya 12 na point ni 18Tumia akili kidogo. Yanga inao mchango wake katika hizo point 12.
Sio favour, ni stahilI yake .