Sawa nashukuru kuliweka sawa. Katika hizo point 18 au whatever the number, Yanga ina mchango wake. Ni mwehu tu atakataa ukweli huo. Kwamba Mikia imechangia pakubwa halina ubishi.Mkuu usilete ubishi kwenye vitu usivyovijua....point 12 ndo nini???....Tanzania imeshika nafasi ya 12 na point ni 18
UJINGAElimu
Elimu
Elimu
boko lingine la TFF hili..Kigezo gani kimetumika kumpa KMC hiyo nafasi Wakati hajacheza fainali yoyote?
Wewe frog wa jangwani Arabi Nanjewa bila Simba mngepata hii nafasi?
Respect Simba kuanzia leo Sithole
Viti maalumu fc
Azam ndio no 3 lkn ni bingwa wa FA hvyo inawakilisha nchi ktk shirikisho. So wa nne ni KMC iko hvyo kwa mijibu wa kanuni zaoKMC kafikaje hapo?
Imechangia point 3 but hazina maana...ingekuwa simba kachangia point let say 12 na yanga kachangia point 3 ambayo jumla zake zingefanya Tanzania iwe na point 15 tungesema hizo point 3 za yanga zinamaana...hata ingetokea simba kachangia point 14.5 na yanga akachangia point 0.5 tungesema point 0.5 za yanga zina umuhimu sababu ndo zimeiongezea nchi hadi kufikisha point 15 so zimetuwezesha kumshinda anayetufuatia ivory cost ambae naye anapoint 15....hizo point 3 za yanga hazina umuhimu wowote sababu hata ukizitoa haziathiri chochote bado nchi itakuwa nafasi ya 12 na itakuwa na sifa ya kuingiza timu 4....simba usiseme imechangia pakubwa sema point iliyozikusanya simba peke yake tu zilikuwa zinatosha kuipandisha nchi mpaka nafasi ya 12...unaposema imechangia pakubwa unamaanisha bila mchango wa yanga tusingekuwa na nafasi ya kuingiza timu 4 kitu ambacho si kweli....mchango wa yanga uwepo or usiwepo point tu alizobeba simba zilikuwa zinatuwezesha kuingiza timu nneSawa nashukuru kuliweka sawa. Katika hizo point 18 au whatever the number, Yanga ina mchango wake. Ni mwehu tu atakataa ukweli huo. Kwamba Mikia imechangia pakubwa halina ubishi.
Elfu kumi haiwi elfu kumi ukitoa senti moja tu.
Arabic nanjewa njoo huku ujibu tuhuma...Kigezo gani kimetumika kumpa KMC hiyo nafasi Wakati hajacheza fainali yoyote?
Wewe frog wa jangwani Arabi Nanjewa bila Simba mngepata hii nafasi?
Respect Simba kuanzia leo Sithole
Viti maalumu fc
Are you sure?Imechangia point 3 but hazina maana...ingekuwa simba kachangia point let say 12 na yanga kachangia point 3 ambayo jumla zake zingefanya Tanzania iwe na point 15 tungesema hizo point 3 za yanga zinamaana...hata ingetokea simba kachangia point 14.5 na yanga akachangia point 0.5 tungesema point 0.5 za yanga zina umuhimu sababu ndo zimeiongezea nchi hadi kufikisha point 15 so zimetuwezesha kumshinda anayetufuatia ivory cost ambae naye anapoint 15....hizo point 3 za yanga hazina umuhimu wowote sababu hata ukizitoa haziathiri chochote bado nchi itakuwa nafasi ya 12 na itakuwa na sifa ya kuingiza timu 4....simba usiseme imechangia pakubwa sema point iliyozikusanya simba peke yake tu zilikuwa zinatosha kuipandisha nchi mpaka nafasi ya 12...unaposema imechangia pakubwa unamaanisha bila mchango wa yanga tusingekuwa na nafasi ya kuingiza timu 4 kitu ambacho si kweli....mchango wa yanga uwepo or usiwepo point tu alizobeba simba zilikuwa zinatuwezesha kuingiza timu nne
KabisaTff walete barua ya kimombo Hapa kabla hawajaitafisiri
Hawa jamaa hawaeleweki
Hivi umesoma hiyo barua ya TFF kweli? Au ulianza kuja uzi kabla ya barua?!Kigezo gani kimetumika kumpa KMC hiyo nafasi Wakati hajacheza fainali yoyote?
Wewe frog wa jangwani Arabi Nanjewa bila Simba mngepata hii nafasi?
Respect Simba kuanzia leo Sithole
Viti maalumu fc
Ukishindana na mbumbumbu utawehuka bure.Hivi umesoma hiyo barua ya TFF kweli? Au ulianza kuja uzi kabla ya barua?!
Sio points 12 ni nafas ya 12 Africa. Kwa points 18 - 15 za simba na 3 za yanga. Uwe unafatilia soccer Sio tu yanga yakoTumia akili kidogo. Yanga inao mchango wake katika hizo point 12.
Sio favour, ni stahilI yake .
Mkuu usiniulize tu kama am sure na ninachokiandika ila nafahamu na nakijua ninachokiandika....watu wengi hawajui hii system ya 5year ranking system inavyofanya kazi so inatakiwa wafundishweAre you sure?
Big up. Huko ndiyo kuongea kwa takwimu.Mkuu usiniulize tu kama am sure na ninachokiandika ila nafahamu na nakijua ninachokiandika....watu wengi hawajui hii system ya 5year ranking system inavyofanya kazi so inatakiwa wafundishwe
View attachment 1117725View attachment 1117726
Point za yanga hapo(0.5×2+0.5×4)=3
Point za simba hapo(3×5)=15
Na ukiangalia hapo anayetufuatia ni ivory cost mwenye point 15 so point za simba tu peke yake ni sawasawa na ivory cost so hata tungegongana sisi ndo tungeingiza timu nne sababu sisi ndo tumechukua point nyingi ambazo ni latest kuliko wao
Kote upo sahihi lakini hakuna suala la eti huyu ni latest na yule ni oldest! Inapotokea nchi zimefungana point, nchi husika zinagawana uwakilishi! Kwavile tie up ingekuwa ni nchi mbili, basi Ivory Coast wangekuwa na nafasi mbili na Tanzania wangekuwa na nafasi mbili! Na kwavile Tanzania nafasi mbili zilishawepo (Simba na Azam), Yanga wasingekuwa na chao!! Hii ni 5 years ranking na hakuna mwaka unaotafsiriwa kuwa ndio bora kuliko mwingine.Point za yanga hapo(0.5×2+0.5×4)=3
Point za simba hapo(3×5)=15
Na ukiangalia hapo anayetufuatia ni ivory cost mwenye point 15 so point za simba tu peke yake ni sawasawa na ivory cost so hata tungegongana sisi ndo tungeingiza timu nne sababu sisi ndo tumechukua point nyingi ambazo ni latest kuliko wao
Uzi ulikuja bila barua.Hivi umesoma hiyo barua ya TFF kweli? Au ulianza kuja uzi kabla ya barua?!