Sasa Rasmi: CAF yathibitisha Tanzania kupeleka timu 4 mashindano ya vilabu barani Africa 2019/2020

Sio kweli! Kama si points za Yanga, Yanga wasingepata nafasi ya kushiriki!
 
Uzi ulikuja bila barua.
Na hata baad ya barua kuja hichi kitu hakiingii akilini sheria za kipumbavu pumbavu tu Wakati Viti maalumu fc wakichukua kombe la VPL na FA aliyeshika nafasi ya pili ndiye alishiri FA huu sijui sheria ilibadilishwa
Viti Maalumu tumechangia points 3 hapo ingawaje Mr Morogoro anawalisha watu matango pori kwamba hizo points 3 hata zisingekuwepo isingebadili upepo!!
 
Lipuli FC ya Iringa wao wangestahili pia kuwemo michuano ya Afrika na siyo KMC ya Kinondoni Dar es Salaam. Kwenu wadau maoni yenu :

1 Jun 2019
Azam FC wamefanikiwa kuchukua ubingwa wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports baada ya kuichapa Lipuli FC bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Ilulu mkoani Lindi. Goli pekee la Azam kwenye mchezo huo limefungwa na mshambuliaji kutoka Zambia Obrey Chirwa dakika ya 65 baada ya kuwazidi maarifa mabeki wa Lipuli na kuachia shuti lililomshinda kipa wa Lipuli Mohamed Yusuph. Baada ya mchezo huo wa fainali, bingwa Azam wamekabidhiwa kombe lao la ubingwa huku tuzo nyingine zikienda kwa wachezaji waliofanya vizuri katika maeneo tofauti matatu.
 
Me naomba kuuliza hawa TFF hizi kanuni kua msindi wa NNE ataiwakilisha nchi iwapo timu iliokamata nafasi ya tatu ni bingwa wa FA zilikuwepo toka zamani au ndo zimetungwa leo baada kupata taarifa zinatakiwa timu 4 msimu wa 2019/2020 ?
 
Hatimae Yanga yapata nafasi ya viti maalum kushiriki michuano ya klabu bingwa barani afrika
 
Tumia akili kidogo. Yanga inao mchango wake katika hizo point 12.
Sio favour, ni stahilI yake .
wasikupe shida, ao ni mbumbumbu fc wanaamini Yanga hajachangia chochote kwenye iyo nafasi.
 
Uzuri nikwamba timu zote zinajiweza kiuchumi kwahyo zikiamua zinaweza fanya vzr. KMC wanangekewa kubwa sana yani msimu wakwanza ligi kuu wanapata nafasi yakupanda ndege? By da way sina shaka na Azam najuwa pesa hipo yakufanya usajili na mambo mengine, KMC kwa upande wao nao hvyohvyo pesa wanayo maana manispaa ya kinondoni aiwezi shindwa kufanya usajili tatzo langu nikwatimu yangu Yanga sijui viongozi wanayoonge wapo serious au tunalishwa matango pori? Tumuombe mungu atusaidie kama Nchi.
 
Tuna points zetu tatu pale lasivyo Kenya ndo wangepata hiyo fursa, mmewabeba kmc siyo Yanga
 
Kweli kabisa, kina Lipuli nikupoteza muda tu
 
Mikia msikieni Mzee wenu Kilomoni. Hati ya majengo ya Simba hatoi kwa Mhindi wenu.

Naye Mhindi bila kumkabidhi mali za club hatoi pesa ya usajili.

Nawaona wachezaji wa Simba wakienda Namungo.
 
Mkuu nauhakika na nilichokiandika....mwaka bora kuliko mwingine upo na ndo mana kuna mwaka point zinazidishwa kwa tano....mwaka mwingine nne....tatu....na kuendelea...simba imefuzu mwaka huu ndo mana imezidishwa 3×5=15...ingefika robo fainali mwaka jana ingekuwa 3×4=12....mwaka juzi 3×3=9 so unasemaje hakuna mwaka unaohesabiwa bora kuliko mwaka mwingine???...timu zinapogongana point aliyechukua point nyingi karibu ndo anakuwa na advantage
 
Nikikuwa ktk Saumu Kali.. hebu nijuzeni Nani katwaa ubingwa wa club za Africa mwaka Huu?
 
Suala la mwaka gani unazidisha kwa ngapi ni kutokana na mabadiliko ya kawaida tu kama ambavyo zamani, points ilikuwa zinakuwa computed kupitia timu zinazoingia robo fainali peke yake lakini baadae wakabadilisha na kutumia timu zinazoingia 16 bora! Net result, haijalishi eti nchi fulani iliongoza mwaka gani. Nchi zikifungana, wanagawana fursa! Pitia kumbukumbu zako na utathbibitisha hiki ninachokisema!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…