Sasa Rasmi: CAF yathibitisha Tanzania kupeleka timu 4 mashindano ya vilabu barani Africa 2019/2020

Okay kumbe point za yanga ndizo zimepelekea wakawa hapo?
Point 3 zikupeleke wapi?... Tuachane na haya mtani tutakesha bure.
Cha msingi timu zetu zipambane kudomanate nafasi hii ya timu 4.. wajipange vzr kule ni kugumu sana .
 
Ha ha ha ni sahihi sana mtani. Suala la Mzee kilomoni halitowaletea shida? Yaani huku Kilomoni huku Akilimali kazi kwelikweli ndio maana mpira wetu haupigi hatua sababu ya Hawa wazee
 
Noo! Kenya ndiye angepeleka Timu nne
Hivi umeangalia msimamo hapo Kenya yupo wangapi, Tanzania nafasi ya 12, 13 kashika Ivory coast, sasa zingekosekana hizo 3 za Yanga Kenya angepanda vipi kwenda wa 12, point 15 za Simba bado zingetufanya tuwe wa 12
 
Akili mkichwa.
Ivory coast alikuwa na timu moja tu katika hatua ya makundi nayo ni Assec mimosa ambayo ilikuwa kundi moja na Mamelodi, Lobi stars na Wydad safari yake ilikomea hapa.

Laiti Assec mimosa angeendelea Robo fainali waTanzania tusingepata hii nafasi Points za champions league ni Kubwa kuliko za Shirikisho.
Na ingetokea Simba katoka Makundi na kenya kapeleka Gor robo fainali Kenya ndiye ingekuwa ya 12 japo kwa points chache sana.

Appreciate mchango wa Simba
 
Kipindi kile Simba inacheza mechi za CUF Yanga walikuwa wanazishangilia timu zilizocheza na Simba.. Leo hii Yanga inapata nafasi kupitia ushindi wa Simba ambayo Yanga hawakuishangilia wakatinilipocheza mechi zilizoipa ushindi ulioopa Yanga nafasi. Kuna jambo la kujifunza katika tasnia ya ushabiki...Shabikia kwa focus...kwa malengo. Hebu Yangu watupe nafasi waliyopata kwa Simba kufungwa baada ya wao Yanga kushabikia timu pinzani za Simba. Hili lina apply hata Yanga ikicheza simba ikiishangilia timu pinzan ya Yanga..simba itanufaika na nini? Tujifunze jambo hapa.
CUF ya Professor Lipumba siyo, au CUF hebu fafanua vizuri ueleweke. Binafsi umeniacha mkuu
 
Inaonekana hujielewi kabisa ndezi wewe, Simba ilikuwa ikishiriki CAF champions league na Viti maalumu fc ilikuwa ikishiriki CAF confederation league ambayo iliishia hatu ya makundi mara mbili kama rekodi zangu ziko sawa.

Tukiacha unazi na ushabiki ulionao wewe Mchango wa Simba inabidi uheshimiwe.
Na kwa taarifa zilizopo ni kwamba Simba na Wenzake walioishia Quarter finals zitacheza mechi moja tu wanaingia hatua ya makundi nyinyi mjipange sana.
Yanga imemaliza ya 2 kwny msimamo...
 
Yanga kaingia mara kadhaa makundi.. hiyo kadhaa ni ngapi ndio mpate point 3 miaka mitano.
We tulia tu.. Tumeshajua nani anaendaga kupiga kazi KIMATAIFA na nani Anapotezaga nauli bure tu...(18-3=?)
Na tukitoa hizo points za yanga tukabakiza 15 za Simba bado tungepeleka timu 4 ksb Gormahia alikuwa na 14 alishatolewa so wakubali tu kwamba bila Simba imara hakuna soccer la bongo
 
Ha ha ha ni sahihi sana mtani. Suala la Mzee kilomoni halitowaletea shida? Yaani huku Kilomoni huku Akilimali kazi kwelikweli ndio maana mpira wetu haupigi hatua sababu ya Hawa wazee
Yaani hawa wazee wawili hawatakiwi kabisa kuwepo kwenye mpira mawazo mgando wanakwamisha maendeleo lakini kwetu unyamani kilomoni hawezi leta shida ksb siyo mwanachama alishaenda mahakamani na wala siyo mjumbe tena wa baraza la wadhamini
 
*TUWEKANE SAWA ILI TUWEKE KWENYE KUMBUKUMBU VIZURI*

Na: Hashim Mbaga

*JOTO KUU:*
1. Je ni kweli Simba imeibeba nchi Katika Ushiriki wa mwaka huu Caf Interclub kuingiza timu 4?
2. Je ni kweli Simba imeibeba Yanga kwa mtiririko huo?
3. Je ni kweli Yanga na Simba wote wamechangia hili kupata ushiriki wa timu 4 kama asingekuwepo mmoja pasingekuwepo nafasi hizi?

*TUPATE TAKWIMU SAHIHI:*

Mfumo wa ranking unaotumiwa na caf ni wa kipindi cha ndani ya miaka 5 ya ufanisi.

*USHIRIKI KWENYE MASHINDANO*
2015/2016 Yanga alishiriki Confederation Cup akapata max 0.5 sawa na point 2.5 wakati huo.

2017/2018 Yanga alishiriki Confederation Cup tena na kupata max 0.5 sawa na point 2.5 wakati huo.
Jumla ya point za Yanga 2018 zote zikawa point 4 sababu point 1 ilishapungua kutokana na miaka kusogea.

2018/2019 Simba ameshiriki na kupata max 3 sawa na point 15
Mwaka huu point za Yanga zimepungua tena 1 na kubaki point 3 hivyo jumla zote za Tanzania kufika point 18.

*KUINGIZA TIMU 4 INTERCLUB*
Baada ya Tanzania kuwa na jumla ya Point 18 iliweza kupata nafasi ya 12 ambayo ndio limit ya Nchi kkupatauwakilishi wa timu 4 na kufanya nchi za Ivory Coast iliyokuwa na point 15 na Kenya point 14 kubaki.

*SWALI LA MJADALA WETU*
Zile point 3 za Yanga zisingekuwepo ina maana Tanzania ingebaki na Point 15 tu za Simba hivyo Wangefungana point na Ivory Coast wote 15 kila mmoja je tunaweza pata nafasi au ingechukuliwa na Ivory Coast *?*.

*KANUNI ZINASEMAJE HAPA*
Kanuni za Caf kwenye nchi kufungana katika RANKING upo na unasema wazi na mifano ipo.
2012 Nchi 3 zilifungana Ivory Coast, Zambia na Angola kila mmoja point 13 ila Ivory Coast akapewa kuingiza timu 4.
2013 nchi 2 zilifungana pia Ivory Coast na Libya ila Ivory coast ikapata ushiriki wa timu 4.

*SABABU NI ZIPI*
1. Tiebreaking Criteria inategemea na Rank ya Chama/nchi husika katika mashindano hayo.
2. Pia inategemea ushiriki wa Timu husika katika mashindano hayo imefikia hatua gani.

*HIVYO BASI*
Ivory Coast yenye Point 15 iliwakilishwa na Timu ya Asec Mimosas hii ilikuwa group A na ikatoka kwenye Group Stage kwa kushika nafasi ya 4th na kupata max 1 sawa na point 5 tu kwa msimu huu.
Tanzania yenye point 15 iliwakilishwa na timu ya SIMBA ambayo ilifika Quarter final na kutolewa kwenye Knockout Stage ikipata max 3 sawa na point 15.

*JIBU HALISI NA LA KWELI*
Kutokana na Takwimu hizo hapo juu hakuna ubishi kuwa Simba imeweza au ingeweza kutupatia nafasi 4 kwenye interclub mwaka huu bila msaada wowote wa point za ziada toka sehemu yeyote. HISTORY inawekwa Africa Mashabiki Tanzania ndio Wa kwanza.

*TAKWIMU HAZIONGOPI KAMWE*

copy and paste
 
Kigezo gani kimetumika kumpa KMC hiyo nafasi Wakati hajacheza fainali yoyote?
Wewe frog wa jangwani Arabi Nanjewa bila Simba mngepata hii nafasi?
Respect Simba kuanzia leo Sithole
Viti maalumu fc
kwani yanga wamecheza fainali gani?
 
hapa kuna watu watakuja na povu.....we subiri tu .......nasema we subiri tuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom