3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Ndio maana yake mkuu.. hata wao wanajua ila wataificha wapi sura yao Inabidi wabishe tuSimba angetolewa makundi, hizo 3 za Yanga ambazo ni jasho lake zilikuwa hazina msaada kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana yake mkuu.. hata wao wanajua ila wataificha wapi sura yao Inabidi wabishe tuSimba angetolewa makundi, hizo 3 za Yanga ambazo ni jasho lake zilikuwa hazina msaada kwake
Achana na point 3 Zenu na 15 za SIMBA... Simba bado angekuwemo kwa kigezo cha bingwa wa ligi na Azam bingwa wa FA.Na vipi simba angeingia robo fainali halafu yanga wasiwe na hizo pointi zao tatu?
Okay kumbe point za yanga ndizo zimepelekea wakawa hapo?Achana na point 3 Zenu na 15 za SIMBA... Simba bado angekuwemo kwa kigezo cha bingwa wa ligi na Azam bingwa wa FA.
Point 3 zikupeleke wapi?... Tuachane na haya mtani tutakesha bure.Okay kumbe point za yanga ndizo zimepelekea wakawa hapo?
Ha ha ha ni sahihi sana mtani. Suala la Mzee kilomoni halitowaletea shida? Yaani huku Kilomoni huku Akilimali kazi kwelikweli ndio maana mpira wetu haupigi hatua sababu ya Hawa wazeePoint 3 zikupeleke wapi?... Tuachane na haya mtani tutakesha bure.
Cha msingi timu zetu zipambane kudomanate nafasi hii ya timu 4.. wajipange vzr kule ni kugumu sana .
Hawa wazee tatizo ni njaa tu... ngoja tuone mwisho wao nani mshindi.Ha ha ha ni sahihi sana mtani. Suala la Mzee kilomoni halitowaletea shida? Yaani huku Kilomoni huku Akilimali kazi kwelikweli ndio maana mpira wetu haupigi hatua sababu ya Hawa wazee
hawa wazee 2 akilimali na kilomoni wamezigeuza yanga na simba Kama mtaji si bureHawa wazee tatizo ni njaa tu... ngoja tuone mwisho wao nani mshindi.
Hivi umeangalia msimamo hapo Kenya yupo wangapi, Tanzania nafasi ya 12, 13 kashika Ivory coast, sasa zingekosekana hizo 3 za Yanga Kenya angepanda vipi kwenda wa 12, point 15 za Simba bado zingetufanya tuwe wa 12Noo! Kenya ndiye angepeleka Timu nne
Akili mkichwa.Hivi umeangalia msimamo hapo Kenya yupo wangapi, Tanzania nafasi ya 12, 13 kashika Ivory coast, sasa zingekosekana hizo 3 za Yanga Kenya angepanda vipi kwenda wa 12, point 15 za Simba bado zingetufanya tuwe wa 12
CUF ya Professor Lipumba siyo, au CUF hebu fafanua vizuri ueleweke. Binafsi umeniacha mkuuKipindi kile Simba inacheza mechi za CUF Yanga walikuwa wanazishangilia timu zilizocheza na Simba.. Leo hii Yanga inapata nafasi kupitia ushindi wa Simba ambayo Yanga hawakuishangilia wakatinilipocheza mechi zilizoipa ushindi ulioopa Yanga nafasi. Kuna jambo la kujifunza katika tasnia ya ushabiki...Shabikia kwa focus...kwa malengo. Hebu Yangu watupe nafasi waliyopata kwa Simba kufungwa baada ya wao Yanga kushabikia timu pinzani za Simba. Hili lina apply hata Yanga ikicheza simba ikiishangilia timu pinzan ya Yanga..simba itanufaika na nini? Tujifunze jambo hapa.
Yanga imemaliza ya 2 kwny msimamo...Inaonekana hujielewi kabisa ndezi wewe, Simba ilikuwa ikishiriki CAF champions league na Viti maalumu fc ilikuwa ikishiriki CAF confederation league ambayo iliishia hatu ya makundi mara mbili kama rekodi zangu ziko sawa.
Tukiacha unazi na ushabiki ulionao wewe Mchango wa Simba inabidi uheshimiwe.
Na kwa taarifa zilizopo ni kwamba Simba na Wenzake walioishia Quarter finals zitacheza mechi moja tu wanaingia hatua ya makundi nyinyi mjipange sana.
Tukitoa point zetu 15 tulizozipata klabu bingwa mkabaki na zenu 3 mlizozipata shirikisho mtaenda wapi?Yanga imemaliza ya 2 kwny msimamo...
Na tukitoa hizo points za yanga tukabakiza 15 za Simba bado tungepeleka timu 4 ksb Gormahia alikuwa na 14 alishatolewa so wakubali tu kwamba bila Simba imara hakuna soccer la bongoYanga kaingia mara kadhaa makundi.. hiyo kadhaa ni ngapi ndio mpate point 3 miaka mitano.
We tulia tu.. Tumeshajua nani anaendaga kupiga kazi KIMATAIFA na nani Anapotezaga nauli bure tu...(18-3=?)
Yaani hawa wazee wawili hawatakiwi kabisa kuwepo kwenye mpira mawazo mgando wanakwamisha maendeleo lakini kwetu unyamani kilomoni hawezi leta shida ksb siyo mwanachama alishaenda mahakamani na wala siyo mjumbe tena wa baraza la wadhaminiHa ha ha ni sahihi sana mtani. Suala la Mzee kilomoni halitowaletea shida? Yaani huku Kilomoni huku Akilimali kazi kwelikweli ndio maana mpira wetu haupigi hatua sababu ya Hawa wazee
kwani yanga wamecheza fainali gani?Kigezo gani kimetumika kumpa KMC hiyo nafasi Wakati hajacheza fainali yoyote?
Wewe frog wa jangwani Arabi Nanjewa bila Simba mngepata hii nafasi?
Respect Simba kuanzia leo Sithole
Viti maalumu fc
hapa kuna watu watakuja na povu.....we subiri tu .......nasema we subiri tuuuuuuuuuuu*TUWEKANE SAWA ILI TUWEKE KWENYE KUMBUKUMBU VIZURI*
Na: Hashim Mbaga
*JOTO KUU:*
1. Je ni kweli Simba imeibeba nchi Katika Ushiriki wa mwaka huu Caf Interclub kuingiza timu 4?
2. Je ni kweli Simba imeibeba Yanga kwa mtiririko huo?
3. Je ni kweli Yanga na Simba wote wamechangia hili kupata ushiriki wa timu 4 kama asingekuwepo mmoja pasingekuwepo nafasi hizi?
*TUPATE TAKWIMU SAHIHI:*
Mfumo wa ranking unaotumiwa na caf ni wa kipindi cha ndani ya miaka 5 ya ufanisi.
*USHIRIKI KWENYE MASHINDANO*
2015/2016 Yanga alishiriki Confederation Cup akapata max 0.5 sawa na point 2.5 wakati huo.
2017/2018 Yanga alishiriki Confederation Cup tena na kupata max 0.5 sawa na point 2.5 wakati huo.
Jumla ya point za Yanga 2018 zote zikawa point 4 sababu point 1 ilishapungua kutokana na miaka kusogea.
2018/2019 Simba ameshiriki na kupata max 3 sawa na point 15
Mwaka huu point za Yanga zimepungua tena 1 na kubaki point 3 hivyo jumla zote za Tanzania kufika point 18.
*KUINGIZA TIMU 4 INTERCLUB*
Baada ya Tanzania kuwa na jumla ya Point 18 iliweza kupata nafasi ya 12 ambayo ndio limit ya Nchi kkupatauwakilishi wa timu 4 na kufanya nchi za Ivory Coast iliyokuwa na point 15 na Kenya point 14 kubaki.
*SWALI LA MJADALA WETU*
Zile point 3 za Yanga zisingekuwepo ina maana Tanzania ingebaki na Point 15 tu za Simba hivyo Wangefungana point na Ivory Coast wote 15 kila mmoja je tunaweza pata nafasi au ingechukuliwa na Ivory Coast *?*.
*KANUNI ZINASEMAJE HAPA*
Kanuni za Caf kwenye nchi kufungana katika RANKING upo na unasema wazi na mifano ipo.
2012 Nchi 3 zilifungana Ivory Coast, Zambia na Angola kila mmoja point 13 ila Ivory Coast akapewa kuingiza timu 4.
2013 nchi 2 zilifungana pia Ivory Coast na Libya ila Ivory coast ikapata ushiriki wa timu 4.
*SABABU NI ZIPI*
1. Tiebreaking Criteria inategemea na Rank ya Chama/nchi husika katika mashindano hayo.
2. Pia inategemea ushiriki wa Timu husika katika mashindano hayo imefikia hatua gani.
*HIVYO BASI*
Ivory Coast yenye Point 15 iliwakilishwa na Timu ya Asec Mimosas hii ilikuwa group A na ikatoka kwenye Group Stage kwa kushika nafasi ya 4th na kupata max 1 sawa na point 5 tu kwa msimu huu.
Tanzania yenye point 15 iliwakilishwa na timu ya SIMBA ambayo ilifika Quarter final na kutolewa kwenye Knockout Stage ikipata max 3 sawa na point 15.
*JIBU HALISI NA LA KWELI*
Kutokana na Takwimu hizo hapo juu hakuna ubishi kuwa Simba imeweza au ingeweza kutupatia nafasi 4 kwenye interclub mwaka huu bila msaada wowote wa point za ziada toka sehemu yeyote. HISTORY inawekwa Africa Mashabiki Tanzania ndio Wa kwanza.
*TAKWIMU HAZIONGOPI KAMWE*
copy and paste
😏😏 Kuna vitu vya kuulizakwani yanga wamecheza fainali gani?