Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Kituo cha televisheni cha Saudi Al-Hadath kinaripoti kwamba mwili ya kiongozi mkuu wa Hamas Mohammed Sinwar na wasaidizi wake kumi ilipatikana ndani ya handaki huko Khan Yunis, kulingana na vyanzo.
Ripoti hiyo pia inadai kuwa Mohammed Shabana, kamanda wa Kikosi cha Hamas cha Rafah Brigedi, aliuawa pamoja na Sinwar katika Shambulio hilo la Israel.
Takriban siku tano zilizopita, IDF na Shin Bet walifanya operesheni iliyolengwa dhidi ya kamandi ya Hamas na kituo cha udhibiti kilichoko katika miundombinu ya chini ya ardhi chini ya Hospitali ya Ulaya huko Khan Yunis. Shambulio hilo lililenga kituo hicho hasa kuwaangamiza Sinwar na watendaji wengine wakuu.
Kufikia sasa bado zoezi la kufukua miili bado linaendelea kama Waziri Mkuu wa Israel alivyowaambia Wahouthi huko Yemen “ Yajayo Yanafurahisha”