njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Afrika nzima tayari inafahamu bado dunia tu kujua, team yenye mafanikio kuliko zote afrika mashariki na kati na inayoongoza kwa ubora katika ukanda huo huku ikiwa team inayoogopwa zaidi kutoka Tanzania yaani yanga sc ina jambo lake msimu huu.
Mabingwa wa kihistoria kama ilivyotangaza rasmi kupitia msemaji wake msomi mwenye degree ya media toka chuo kisichojulikana huko south africa na degree ya political science kutoka chuo kisichojulikana huko china aitwaye Hajj Manara ya kwamba msimu ujao wa Caf interclub competition itaanzia round ya kwanza siyo awali kwa sababu itabeba ubingwa wa ligi
Pia klabu hiyo kupitia kwa msemaji huyo msomi na mwenye uweledi mkubwa iliahidi kuchukua ubingwa wa Africa hiyo inamaanisha kwamba kwenye michuano ya klabu bingwa ya dunia yanga sc itawakilisha bara la Africa na imekuwa kama tamaduni kwa klabu za ulaya kufika fainali na kuchukua kikombe hicho
Bara zima la Afrika ambalo kwa sasa ni kama limeshakubali kwamba Yanga ndiyo mabingwa watarajiwa wa African champions league linasubiri kwa hamu kujua kama Yanga katika fainali ya klabu. bingwa dunia atakutana na liverpool au Real madrid
Kila la heri Chama kubwa la Yanga sc kuuuleta ubingwa wa dunia wa klabu kwa mara ya kwanza barani Afrika maana kuhusu ubingwa wa CAF teams zote zishakubali matokeo..kwa mziki huu wa mayele, mwamnyetooo. Job, kibwana shomari..chiko ushindi????? weeeee weeeeee weeeeeeeeee