Mazuzu hayajui bingwa wa afrika anawakilisha bara hili kwenye michuano ya vilabu ya dunia...ujinga ni dhahama kubwa ambayo mungu kajalia watanganyika kibaooo
Real madrid wenyewe hawataki kabisa kukutana na mayele. Sembuse vitimu vya hapa Afrika? Na tumekubaliana , Yanga mwaka huu ataanzia hatua ya makundi . Huku kwingine ni ku mpotezea mayele muda.
kuna vilaza hapa hawajui Tp mazembe alibaki kidogo kuchukua hilo kombe la dunia akafungwa na inter milan fainali...sasa Yanga sc baada ya kutangaza nia ya kuchukua ubingwa wa afrika kupitia kwa semaji lake nguli lenye weledi mkubwa kwa nini wasifike fainali?
Iwe madrid iwe liverpool kwa mayele lazima wazime fegi na team haianzi round ya awali iwe mvua iwe jua habari ndo hiyo