Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Tesla hadi sasa ameshafungua stores zake kwenye mabala matano kati ya saba, kasoro Africa na Antarctica.
Sio mara ya kwanza Elon Musk aliwahi kuulizwa kuhusu kutaka kuingia Africa, sana sana bara alipozaliwa South Africa, akaishia kusema tu soon.
Sasa nadhani ndio soon aliyoisema, kwani tumeona July Tesla wakitangaza nafasi za kazi Morocco, katika stores wanazotaka kufungua, ambapo kwa kuanza wameweka investment ya $2.7 Million.
Tunategema watafungua na nchi zingine, ikiwemo South Africa kama vipi watufikirie na East Africa.
Kutokua na store hakukuzuii kununua Tesla, ila challenge itakuja pale utakapotaka kufanya maintenance kubwa inayohitaji expert kutoka Tesla wenyewe, ila kuchaji kubadirisha tyres nk haina shida. Ndio maana kuna Tesla zimeshaonekana Tanzania, Kenya wana hadi Cybertruck, na nchi nyingine za Africa.
Ikifanikiwa, Tesla watakua wamentangulia hadi Apple kufungua store Africa.