Sasa rasmi West-Bank(Jude’s & Samaria)iko mikononi mwa Israel 🇮🇱!!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Baraza la Mawaziri la Usalama la Israeli liliidhinisha hatua madhubuti za kisheria za kuimarisha utawala wa Israeli huko Yudea na Samaria:

✅ Imefuta sheria ya zamani ya Jordan iliyowapiga marufuku Wayahudi kununua ardhi.

✅ Kuhamisha mamlaka ya kibali cha ujenzi huko Hebroni kwa Utawala wa Kiraia.

✅ Kuongeza utekelezaji dhidi ya ujenzi haramu wa Wapalestina.

✅ Panua udhibiti wa utawala wa Israeli na kurahisisha taratibu za mipango.

Jumuiya ya kimataifa iliharakisha kulaani hatua hii, ikiiita kuwa ni kinyume cha sheria.

Israel inafanya kazi kwa maslahi yake ya kitaifa na kutetea haki za Wayahudi huko Yudea na Samaria.

Na hakuna wimbi la laana za kigeni litakalobadilisha hilo Jude’s &Samaria itabakia kuwa Israel milele!!

IMG_4872.jpeg
IMG_4873.jpeg
 
View attachment 3542609View attachment 3542620
Hawa wakicheza na Israel atachukua eneo lote. Wawe na adabu na wakubali kuweka silaha chini na kujikita kwenye masuala ya maendeleo. Kuishi kwenye mahandaki kama kenge hakutawasaidia Wapalestina.
 
Umeshasikia situation ya kuweka silaha chini sio suluhisho Wala kushika silaha hakuna suluhisho muyahudi is a demon in human form on this earth, hivyo Hamas hawezi kuweka silaha chini. Akiweka kafa akishika kafa Sasa unakufaje kitandani Kwenye ardhi Yako?
 
Na mwarabu ndo Shetan mwenyewe na mola wao allah ni mola wa majini shetani mkuu.
 
Umeshasikia situation ya kuweka silaha chini sio suluhisho Wala kushika silaha hakuna suluhisho muyahudi is a demon in human form on this earth, hivyo Hamas hawezi kuweka silaha chini. Akiweka kafa akishika kafa Sasa unakufaje kitandani Kwenye ardhi Yako?
Mnamo 2005, Israeli ilijiondoa kabisa kutoka Gaza, na kuacha mlango wazi kwa Wapalestina kujenga jamii yenye amani. Badala yake, Hamas iliingia madarakani, ikaongeza mashambulizi ya roketi, na kuigeuza Gaza kuwa mahali pa kufyatulia maroketi na kufanya ugaidi.

Kwa Hali hiyo ulitarajia Israel ikae kimya? Hatimaye Oct 07,2023 waliamua kuvamia nchini Israel na kufanya mauaji ya kutisha kwa raia wa Israel na wengine 251 kuwateka nyara. Hivyo kuhamisha Ari ya Wananchi wa Israel kuchukua hatua Kali kwa magaidi hao kulikopelekea Gaza kuwa magari na sasa West-Bank haitaitwa hivyo tena Bali inaitwa jina lake la zamani Judaea na Samaria.
 
Israel anajua namna ya kuwavuta sharubu kobazi wote
Israel hajui kupigana vita, anachofanya ni kuua familia za maadui akiwa mbali kaua watoto 40 elfu, na watu wasio husika 30 elfu, akizidiwa anakubali cease fire ambayo yeye hataitekeleza Kwa 💯 lengo apunguze kushambuliwa ili awe anashambulia Kwa drone huku wenzake wakiwa cease fire coz anajua UN na US wanawabana wale walio kubali cease fire.. ndio maana IRAN katoa tahadhari mapema hakutakuwa na cease fire this time, Israel alitaka kufanya huo mchezo Kwa Iran, Iran akabutua mtaan mzima Alfajiri
 
Israel hajui kupigana vita, anachofanya ni kuua familia za maadui akiwa mbali kaua watoto 40 elfu, na watu wasio husika 30 elfu,
Ni kweli kabisa Israel hajui kupigana ndiyo maana Hamas,Hezbollah,Islamic Jihad na Houth hawafurukuti na Hezbollah siku hizi anapigwa kama Ngoma hata hawezi kuharibu hata tu kurusha jiwe huko Kaskazini mwa Israel.
akizidiwa anakubali cease fire ambayo yeye hataitekeleza Kwa 💯 lengo apunguze kushambuliwa ili awe anashambulia Kwa drone huku wenzake wakiwa cease fire coz anajua UN na US wanawabana wale walio kubali cease fire..
Hezbollah na Houth waliapa kuwa hawawezi kusimamisha mapigano mpaka hapo Israel itakapoacha kuwashambulia magaidi wa Hamas, cha kushangaza Magaidi hao walikubali ceasefire wakati Magaidi wenzao wa Hamas wakiendelea kutandikwa kipigo cha Mbwa-koko. Hapo nani wa kulaumiwa? Kiko wapi kiasi chao hao magaidi? Mpaka leo hii Hamas wanapigwa mpaka wanaitika abeeee!!!!
ndio maana IRAN katoa tahadhari mapema hakutakuwa na cease fire this time, Israel alitaka kufanya huo mchezo Kwa Iran, Iran akabutua mtaan mzima Alfajiri
Kwenye. Vita vya siku 12 Iran alikuwa wa kwanza kukubali alihali alikuwa amechokozwa kwanza kwa Israel kuanzisha mashambulizi ambayo yaliua maelfu ya Askari akiwemo Mkuu wa Majeshi na Makamanda waandamizi wa Jeshi la Iran. Kitu ambacho Kilifanya Jeshi la anga la Israel kulitawala anga lote la Iran kwa siku zote 12 hapakuwa na Nywinywi wala Nywinywinywi. Ndege -vita za Israel ziliweza kufanya mashambulizi nchini kote bila shida maana hapakuwa na Air defect systems zozote na Jeshi la anga la Iran halikuweza kurusha hata ndege moja kupambana na wazee wa anga Israel Air Force(IAF).

Mpaka vita inaisha hakuna ndege-vita yoyote ya Israel iliyoangushwa, Hakuna Mwanajeshi yeyote wa Israe aliyekuwa na waliweza kuua Makamanda waandamizi pamoja na wanasayansi Juma ya wote walikuwa zaidi ya 1,000.

Na Iran iliweza kufanikiwa kuua watoto 9 na kuua raia 19 baada ya Makombola Yao kushambulia Israel. Na hivyo Ilionyesha ni jinsi gani Jeshi Lao ni dhaifu kwenye uwanja wa medani na ni wazuri sana kwa Propaganda za uongo!!!!
 
Israel hajui kupigana vita, anachofanya ni kuua familia za maadui akiwa mbali kaua watoto 40 elfu, na watu wasio husika 30 elfu, akizidiwa anakubali cease fire ambayo yeye hataitekeleza Kwa 💯 lengo apunguze kushambuliwa ili awe anashambulia Kwa drone huku wenzake wakiwa cease fire coz anajua UN na US wanawabana wale walio kubali cease fire.. ndio maana IRAN katoa tahadhari mapema hakutakuwa na cease fire this time, Israel alitaka kufanya huo mchezo Kwa Iran, Iran akabutua mtaan mzima Alfajiri

Inaonekana unaishi kwenye handaki la giza na ujinga.
Ayatollah akikusikia unasema Israel haijui vita, atatoa amri uuawe. Vita ya siku 12 tu, ilimaliza makamanda na wataalam wa juu wote wa nuclear wa Iran. Waziri wa mambo ya Kigeni alikimbia haraka kwenda EU kuomba wasaidie ipatikane ceasefire. EU wakamwambia Netanyahu, akagoma. Wakamwomba Trump asaidie, akawakubalia na kuwaambia itabidi ashambulie kwanza vinu vya kurutubisha nuclear energy, bila kufanya hivyo kwanza, Netanyahu hatakubali. Ulaya ikaridhia. Na ndicho kilichofanyika.

Safari hii Iran ishukuru sana nchi za kiarabu. Marekani ilikuwa imekwishaamua kuishambulia Iran. Iran ikasema kuwa ikishambuliwa na Marekani, yenyewe itashambulia mataifa yote rafiki wa Marekani, ikimaanisha Israel, Qatar, Lebanon, Syria na Saudia. Mataifa yakaibembeleza sana USA, yamieleza wazi kuwa wao ndiyo wangeathirika vibaya. Wakati huo huo Iran ikawa inaomba mazungumzo na Marekani.
 
Shambulio lile lilikua la kustukiza walikua Kwenye kikao na mashambulio mengi yaliyofanywa na Israel yalikua ya kustukiza na mashushu walio ndani, ndio waliku wanalipua apartments na air defense systems lakini Kwa mashambulio ya angani 80% muiran alipangua, na kingine Iran alishambuliwa akiwa katikati ya mazungumzo na mmarekani hivyo alijua fika US hawezi kushambulia wakati wakiwa na dili .mezani.. sashivi muiran amejiandaa kwaajili ya shambulio lakini January trump na Netanyau wakapima wakaona hapa Bado tutaumbuka, vikao haviishi ni sawa na wewe unichape banzi na ngumu nzito nitoke damu ile ya kustukiza halafu nikasimama Sasa ili tuzinese sawa sawa nikarusha makonde ya maana yakukutoa wenge unaomba ugomvi uishe ndio mzayuni kilichomkuta ile siku ya mwisho baada ya kuona bomu Moja Lina sambaza mtaa mzima.
 
Kwa ujumla Mashariki ya kati nzima, mbabe wa vita ni Israel. Bingwa wa tekinolojia ni israel. Mwenye uchumi mzuri ni Saudia, Qatar na Israel.
Qatar U$71,000
Israel U$54,000
UAE U$49,000
Saudi Arabia U$30,000
Aliye taabani, Iran U$5,000
 
Kama vinu vilishambuliwa iweje Leo Tena wanakaa kupatana kuhusu nyuklia? Media za trump zisikuchukue
 
Kwa ujumla Mashariki ya kati nzima, mbabe wa vita ni Israel. Bingwa wa tekinolojia ni israel. Mwenye uchumi mzuri ni Saudia, Qatar na Israel.
Qatar U$71,000
Israel U$54,000
UAE U$49,000
Saudi Arabia U$30,000
Aliye taabani, Iran U$5,000
Na nani anavikwazo Kati hao? Haruhusiwi kuuza Hata pipi Kwa jiran zake lakini Bado anaogopwa kam ukoma siku zote west huwa hawapendi mtu mwenye akili zaidi yao

Techologia gani iiyopo kwa mzayuni na west ila Iran hawana
 
Ni kweli kabisa Israel hajui kupigana ndiyo maana Hamas,Hezbollah,Islamic Jihad na Houth hawafurukuti na Hezbollah siku hizi anapigwa kama Ngoma hata hawezi kuharibu hata tu kurusha jiwe huko Kaskazini mwa Israel.

Hezbollah na Houth waliapa kuwa hawawezi kusimamisha mapigano mpaka hapo Israel itakapoacha kuwashambulia magaidi wa Hamas, cha kushangaza Magaidi hao walikubali ceasefire wakati Magaidi wenzao wa Hamas wakiendelea kutandikwa kipigo cha Mbwa-koko. Hapo nani wa kulaumiwa? Kiko wapi kiasi chao hao magaidi? Mpaka leo hii Hamas wanapigwa mpaka wanaitika abeeee!!!!

Kwenye. Vita vya siku 12 Iran alikuwa wa kwanza kukubali alihali alikuwa amechokozwa kwanza kwa Israel kuanzisha mashambulizi ambayo yaliua maelfu ya Askari akiwemo Mkuu wa Majeshi na Makamanda waandamizi wa Jeshi la Iran. Kitu ambacho Kilifanya Jeshi la anga la Israel kulitawala anga lote la Iran kwa siku zote 12 hapakuwa na Nywinywi wala Nywinywinywi. Ndege -vita za Israel ziliweza kufanya mashambulizi nchini kote bila shida maana hapakuwa na Air defect systems zozote na Jeshi la anga la Iran halikuweza kurusha hata ndege moja kupambana na wazee wa anga Israel Air Force(IAF).

Mpaka vita inaisha hakuna ndege-vita yoyote ya Israel iliyoangushwa, Hakuna Mwanajeshi yeyote wa Israe aliyekuwa na waliweza kuua Makamanda waandamizi pamoja na wanasayansi Juma ya wote walikuwa zaidi ya 1,000.

Na Iran iliweza kufanikiwa kuua watoto 9 na kuua raia 19 baada ya Makombola Yao kushambulia Israel. Na hivyo Ilionyesha ni jinsi gani Jeshi Lao ni dhaifu kwenye uwanja wa medani na ni wazuri sana kwa Propaganda za uongo!!!!
Israel hakutoa takwimu Hata Moja ya mauaji alilofanya muajemii walificha na kila aliepiga picha aliwekwa jela. Ila watu zaidi ya buku walifia Kwenye mahandaki maana waliamini kombora la muiran ni Kama zile barut za Hamas...kumbe kombora la muajemi linachimba radius 5km alieyemo na asiyekuwemo, umesahau wanajeshi walijificha hospitali wakakazani muajemi atawaacha na kuweka vifaru chini ya hospitali.

Kama kweli mzayuni anamuweza vita peke yake. US anaenda kutafuta nini? Kwanini asimchape bila kumuingiza US? Lazima ujue ile sio nchi ni kambi kubwa ya Jeshi ya US pale middle east ile sio nchi, wake ni partners in crime with US in middle east
 
Israel hakutoa takwimu Hata Moja ya mauaji alilofanya muajemii walificha na kila aliepiga picha aliwekwa jela
Kwani Israel ilipataje idadi ya mizoga huko Iran? Na kwa nini Iran anataka kulazimisha kuua watu ambao hakuua?

kombora la muajemi linachimba radius 5km alieyemo na asiyekuwemo,
Hivi wewe unazijua vizuri Kilomita 5? Ungekuwa umefunga ningekuambia "Mfungo umekuchanganya subiri ufuturu akili zako zitakaa sawa"
 
Kwani Israel ilipataje idadi ya mizoga huko Iran? Na kwa nini Iran anataka kulazimisha kuua watu ambao hakuua?

Hivi wewe unazijua vizuri Kilomita 5? Ungekuwa umefunga ningekuambia "Mfungo umekuchanganya subiri ufuturu akili zako zitakaa sawa"
US na Israel wanaogopa mataifa mengi ya middle east yataegemea upande wa Iran linapokuja suala lakiulinzi na, kwa sababu Iran imekwisha dhihirisha uwezo wake kijeshi na teknolojia.

Israel pia imeshajidhihirisha ni dhaifu kwa Iran upande wa middle east hivyo waarabu wengi wataegemea upande wa Iran ikitokea mvutano na Israel au tishio la kiuslama kutoka kwa Israel.

Kumbuka pia suala la Palestine linafanya Israel izidi kupoteza ushawishi na mvuto zaidi kwa mataifa ya middle east na sio middl east hata EU na pande nyingi duniani.

Hadi sasa tunavyoongea Israel pekee haina uwezo wa kuikabili Iran pasipo kumshirikisha US, hivyo tayari superpower wa middle east anafahamika.
 
Endelea kuwadanganya wajinga wenzako!!
 
Back
Top Bottom